Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Stop consoling yourself bongolala. Jenga infrastructure uwache kupigia watu kelele na aibu ndogo ndogo za kuenda China
Of course we are building infrastructure and you know that. Wewe mwenyewe unaelewa jinsi Tanzania ilivyo FIRE kwenye infrastructure, sisi tunajenga sana
Kwanza tumejenga SGR railway na tunatumia treni ya umeme ambayo Kenya hakuna, tuna functional BRT system ambayo mlijaribu kujenga Nairobi mkashindwa, tuna longest bridge in East Africa hapo Mwanza, tuna madaraja mazuri zaidi East Africa, tuna bus stations nzuri kuliko Kenya, tunajenga many new universities in small towns, tunajenga industrial park kubwa zaidi East Africa na ikiwezekana Africa katika mkoa wa Pwani, tunajenga moja ya airport kubwa zaidi Africa "Msalato Airport Dodoma", tumeanza ujenzi wa BRT system Zanzibar, tumekamilisha ujenzi airport ya Sumbawanga, tunajenga modern bus station Mbeya, tunajenga infrastructure nyingi sana, most Kenyans mnajua kuwa linapokuja suala la kutekeleza ujenzi wa miradi Tanzania ipo vizuri
 
You're an idiot, Arusha NP is west of Kilimanjaro. That photo is the northern side. From Arusha, you won't even have a full view of Mawenzi - you may not even see it at all in some regions. Kilimanjaro looks best from Amboseli. Most of your adverts of Kilimanjaro are from photos taken in Amboseli. Ingekuwa Kenya wanatumia picha zenu mngesema tunaiba mbuga yetu. Stupid old man.
The view of Mweka Road in Kilimanjaro Region, Tanzania 🇹🇿
This is the closest view of Mount Kilimanjaro you can get when you're on the ground
Tanzania is gorgeous 😍
1771018712152.jpg
 
Wacha upumbavu , Major animals like giraffes don’t dwell in dense mountain forests .. they feed on Savanah vegetation … Hata hiyo map you have shown is just a dense forest on the mountain slope. Again Tanzania side of Kilimanjaro is the windward fertile side while Kenyan side is the leeward Savanah .( similarly to Mt. Kenya … Meru side is windward meaning rich in fertile and agricultural land whereas Nanyuki is the leeward side , just a Savannah horizon.) .. you are lucky the border line put the whole mountain on your side but Kenya maintains the best view
 
Ati Tanzanian side of Mount Kilimanjaro
Kwani Kuna Kenyan side of Mount Kilimanjaro? Mount Kilimanjaro is fully in Tanzania, there's no Kenyan side 😂
 
Back
Top Bottom