REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
Ni kimradi kidogo tu cha 18.3 kilometres na vibasi kama 100 hivi.
na ni kiwanja cha afcon pia, yaani tujiandae kwa aibu yule mwandishi alisema wakamwona hana akili
View: https://x.com/ivymuthe/status/2020478708956496026?s=20
Tutawanunua hawa muda sio mrefu kwa msosi tuu 🤣🤣🤣inakua tax yote ni kulipa madeni alafu unakopa tena kulipa 20% ya deni la ziada 🤣 🤣 , saas we kama nchi 80% ya mapato wanatumia kulipa madeni kuna nn tena apo
most expensive train in africa
View attachment 3541238
mwanzo mzuri sio kama wale wa isuzuNi kimeadi kidogo tu cha 18.3 kilometres na vibasi kama 100 hivi.
wydad walikua wanataka kugomea mechi naona wametumia busara tu kisa wana pointi nyingi tayarKha, yaani afadhali pitch ya Bamako ambapo Stade Malien de Bamako wanacheza na Esperance de Tunis. Hawa nyang'au ni shida kweli kweli.🤣
Cc: Mimi Wewe Yule
ngoja wafike beiTutawanunua hawa muda sio mrefu kwa msosi tuu 🤣🤣🤣
hio ugly weka capital letter yaani iwe ivi UGLIEST in africaThe most expensive and ugliest
Ukiona nyang'au Teargass anavyousifia utafikiri ni zaidi ya Allianz Arena😎wydad walikua wanataka kugomea mechi naona wametumia busara tu kisa wana pointi nyingi tayar
sema hizi aibu mda wa afcon tutaonekana wote akili hatuna kumbe ni punda mmoja