Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,701
- 107,146
hiyo parcel of land ipo Nairobi na ni opposite to Talanta!
Are you implying they want to connect their line to the dar route?Then what are they building to malaba for? Ama 2 routes at once 😅Yes n signing agreements on SGR to Tanga and Dar!
Kama kuna waimbaji wazuri ni nyinyisupporting singers to choirmaster Ruto!
kwani kuna sgr inajengwa huko Ukunduni?Kama kuna waimbaji wazuri ni nyinyi
Hebu nikuchunie hii mziki uone kama unakumbuka😅
SGR- haitagengwa-mali ya mchina- white elephant
Expressway- haitajengwa- mali ya mchina- White elephant
Talanta- haitajengwa - mali ya mchina- white elephant
Sasa hapo kwa 120% itakuwa tax ypte + loans kulipa madeni 🤣🤣🤣Sisi tunataka wajenge na mwingine mkubwa
🤣 🤣 🤣 saahv si 80% ya tax zinaenda kulipa madeni tunataka wajenge mwingine iwe 120% of tax ni kulipa madeni
Good for you, I don't even know what project that isMlivyokuwa mnaponda ujenzi Highway Tunduma-Mbeya kwa Kelele nyingi na kumbe hamna cha maana kilichofanyika Rironi-Mau summit?
inakua tax yote ni kulipa madeni alafu unakopa tena kulipa 20% ya deni la ziada 🤣 🤣 , saas we kama nchi 80% ya mapato wanatumia kulipa madeni kuna nn tena apoSasa hapo kwa 120% itakuwa tax ypte + loans kulipa madeni 🤣🤣🤣
Kunjua nafsi tu bana 🤣🤣, si ndo nyie mlikua mnataka kuja kufanya maadamano uku, ulishawahi kuona mtz yoyote anahangaika na issues zenu za kila siku , what does that mean 🤣🤣 YOUR JEALOUSGood for you, I don't even know what project that is
If you haven't noticed Maendeleo yenu haitusumbui,
Most of us are not Petty, jealous or propagandized by the ruling party from childhood like you all bcoz our projects and development makes your one party regime look bad
wydad jana walitaka kugomea mechi wanauliza CAF wameruhusu vp huu uwanja kutumika 🤣🤣, mwingine kasema picha za talanta zimevuja after afconHii pitch ya wakunya vs wydad kama shamba la mpunga,kunyan hata aibu awaoni!
na ni kiwanja cha afcon pia, yaani tujiandae kwa aibu yule mwandishi alisema wakamwona hana akiliHii pitch ya wakunya vs wydad kama shamba la mpunga,kunyan hata aibu awaoni!
btw apo ni renovation zimemalizika maaana walitangaza wanaifunga kwa mda ndo mpaka leo unavoona 🤣🤣Hii pitch ya wakunya vs wydad kama shamba la mpunga,kunyan hata aibu awaoni!
Kunyan na vitu quality ni chui na pakabtw apo ni renovation zimemalizika maaana walitangaza wanaifunga kwa mda ndo mpaka leo unavoona 🤣🤣
Pamoja wanja lao bovu wamelombwa hapo hapo kwao naimaviwydad jana walitaka kugomea mechi wanauliza CAF wameruhusu vp huu uwanja kutumika 🤣🤣, mwingine kasema picha za talanta zimevuja after afcon