Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,884
- 32,660
na ni kiwanja cha afcon pia, yaani tujiandae kwa aibu yule mwandishi alisema wakamwona hana akili
View: https://x.com/ivymuthe/status/2020478708956496026?s=20
Kha, yaani afadhali pitch ya Bamako ambapo Stade Malien de Bamako wanacheza na Esperance de Tunis. Hawa nyang'au ni shida kweli kweli.š¤£
Cc: Mimi Wewe Yule