stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,809
- 34,565
hawa corrupt wa kenya sku hizi hawapo serious, unaibaje ela ndogo ivi, na wananchi wanapenda kuongezewa tax.President fanya ile kitu bana
View: https://x.com/otienowill/status/2016395481484599718?s=20
Ukiwa na Rais anaongelea Parastatals za Tanzania kila siku, usitegemee lolote la maana!