stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,710
- 15,589
habari kama hizi wala hazipewi umuhimu sana mpaka wameshachora michoro na kumpata mkandarasi hakuna mtu anajua mpaka waweke bango ndio tunashtuka. sharing of information bado tuko nyuma sana ndio maana stats zetu zinaganda muda mrefu na kutoa taswira amabayo sio halisi.
Ni shida sana , Serikali Iko very conservative.habari kama hizi wala hazipewi umuhimu sana mpaka wameshachora michoro na kumpata mkandarasi hakuna mtu anajua mpaka waweke bango ndio tunashtuka. sharing of information bado tuko nyuma sana ndio maana stats zetu zinaganda muda mrefu na kutoa taswira amabayo sio halisi.
35 Storey Building Massive for Dodoma. Mwenye render aweke tafadhali
35 Storey building kalilie chooni sasa.Tangu lini a 32 meter building ikawa skyscraper?
Bakuli za supu panafaa sana kwa shughuli za Jangwani hapo 😁hourly dose
View attachment 3535079
hii nchi kila mtu awahi chake, hadi national park zishaanza kuuzawa
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2016368134366888137?s=20
Njedengwa ni next level Coporate area. Hivi embassies zitakuwa huko pia ama?Ni shida sana , Serikali Iko very conservative.
Hii hapa ni TCRA HQ ujenzi unaendelea hapo Ndejengwa
View attachment 3535557
Definitely maana Kuna hotel ya 5 star pia inajengwa.Njedengwa ni next level Coporate area. Hivi embassies zitakuwa huko pia ama?
aya sasa, sehem ya kuzipeleka izo pesa mnajua 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2016398335318339864?s=20