Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo ndio ajue kuna GDP halisi na ya karatasi.
issue ya GDP ni tatizo kote duniani, kwa mfano chukulia GDP ya kenya ni around $145B ila unachotakiwa kuangalia ni sectors zinazocontribute zaidi kwenye hio GDP, the problem is in capitalism ni watu wachache wanachangia kwenye GDP

1769600739841.png


kwa kenya hii ndo biggest contributer ya GDP, ukiangalia apo most of them are companies, institutions etc
for tanzania its mainly agriculture which ndo watu wengi wanafanya, so in tz its easy to earn from gdp growth than in kenya, wether the stats are correct or not sio issue sana zaidi ya contributers wa GDP
 
Mwambie aseme ukweli tuu zikiwekwa hizo treni mbili kwenye mnada ya Tz iliyoanguka na hiyo kichwa ngombe yeye kama mteja atanunua ipi ili aanze biashara yake ya usafirishaji wa reli?
kashindwa kutoa jibu, nimemwambia achague kati ya hio ta tz ilioanguka kuvunjika na hio yao mpya mpaka sasa hajatoa jibu 🤣 🤣
 
Unatoka Airport unapanda BRT full aircon kuja city centre either hotel au train station. unachukua train in 3 hours uko Dom. au BRT mpaka airport unapanda ATC mpaka Arusha, pia BRT mpaka ferry station unapanda Catamaran mpaka Zanzibar seemless connection hakuna matatuu ya hovyo hapo.
wangejua BRT yenyewe inaenda mpaka congo 🤣🤣
 
View attachment 3535438
KENYA : RIPOTI ya hivi karibuni ya Benki ya Dunia imeitaja Kenya kuwa ya kumi kati ya nchi maskini zaidi duniani. Taarifa hiyo imetolewa wakati taifa hilo likijiandaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, huku hali ya kisiasa ikielezwa kuwa na mvutano unaozidi kuongezeka katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi huo.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, migogoro kati ya vyama vya siasa na viongozi wakuu wa kitaifa inaendelea kuathiri mwenendo wa uchumi wa Kenya.Taarifa mbalimbali zinazochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha kuwepo kwa sintofahamu ya kisiasa inayojitokeza wazi, hali inayozua wasiwasi kuhusu uthabiti wa uongozi wa nchi hiyo.
Hali hiyo imesababisha kushuka kwa imani ya wawekezaji wa ndani na wa kimataifa. Benki ya Dunia inaeleza kuwa mazingira ya kisiasa yasiyo na utulivu huathiri uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni, husababisha kukimbia kwa mitaji na kudhoofisha masoko ya fedha pamoja na fursa za ajira.Aidha, mvutano wa kisiasa unaathiri pia utekelezaji wa sera za fedha na miradi ya maendeleo.
Benki Kuu ya Kenya inaweza kukabiliwa na changamoto ya kudhibiti mfumuko wa bei, hali inayoweza kusababisha kuongezeka kwa viwango vya riba na kupunguza shughuli za biashara, utalii na uwekezaji wa miundombinu.
Benki ya Dunia imeonya kuwa endapo hali ya kisiasa itaendelea kuwa tete, Kenya inaweza kushindwa kufanikisha mipango yake ya maendeleo ya muda mrefu. Ripoti hiyo inaeleza kuwa ucheleweshaji wa sera za kiuchumi na kupungua kwa uwekezaji vinaweza kuongeza kiwango cha umaskini na ukosefu wa ajira nchini humo.
daily dose
 
Don’t be such a clown man, why are you posting randomnly do you really understand some of the posts you are reposting here? How many Kenyans mind increasing their monthly savings for future?
are you asking me or explaining to samoeli
 
Back
Top Bottom