Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 6,217
- 12,594
Hata Diamond Platnumz amekuja Nairobi mara nyingi and still chose Dar es SalaamUmetoka from facts to vibes and inshallah real quick. Maisha mazuri with a lower GNI and HDI hahaha you are joking. Ebu uliza Chief God love mbona amekatalia Nairobi. 😂😂😂 Tangu aonje utamu wa Nairobi ndio alijua Dar is a slum mnyambo wa punda.
Hata huku Tanzania kuna watu wamekaa Dar es Salaam at the end of the day wakachoose Zanzibar, au wamekaa Zanzibar kisha wakachagua Arusha. Kila mtu ana preference yake
Nairobi haiwezi kupendwa na kila mtu, na Dar pia sio ya kila mtu
Kwa kuwa Chief Godlove amepapenda Nairobi hauwezi ku jump kwenye conclusion kuwa Nairobi ni bora kuliko Dar. Big NO 🚫