i hope wawe wamechukua from Kiira Motors Uganda.Huku Tanzania ni development tu everywhere
View attachment 3534889
i hope wawe wamechukua from Kiira Motors Uganda.Huku Tanzania ni development tu everywhere
View attachment 3534889
aliekwambia hawajui ni nn? ana hujui kuna NSSF pia tzNi kama watanzania hawafahamu Nssf ni nini 😅
kashindwa kutoa jibu, nimemwambia achague kati ya hio ta tz ilioanguka kuvunjika na hio yao mpya mpaka sasa hajatoa jibu 🤣 🤣Mwambie aseme ukweli tuu zikiwekwa hizo treni mbili kwenye mnada ya Tz iliyoanguka na hiyo kichwa ngombe yeye kama mteja atanunua ipi ili aanze biashara yake ya usafirishaji wa reli?
kwan hujui tanzania kuna NSSF piaHuyo nyamwezi anaelewa hata NSSF ni nini? Yeye bora ameona post inamention Kenya, content notwithstanding
wangejua BRT yenyewe inaenda mpaka congo 🤣🤣Unatoka Airport unapanda BRT full aircon kuja city centre either hotel au train station. unachukua train in 3 hours uko Dom. au BRT mpaka airport unapanda ATC mpaka Arusha, pia BRT mpaka ferry station unapanda Catamaran mpaka Zanzibar seemless connection hakuna matatuu ya hovyo hapo.
The largest watervessel in the whole of Lake Victoria!
View: https://www.instagram.com/reel/DT-hEO-CNYZ/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
IamLee nairobae NairobiWalker Teargass Nicxie mwathadan n Nairoberry
daily doseView attachment 3535438
KENYA : RIPOTI ya hivi karibuni ya Benki ya Dunia imeitaja Kenya kuwa ya kumi kati ya nchi maskini zaidi duniani. Taarifa hiyo imetolewa wakati taifa hilo likijiandaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, huku hali ya kisiasa ikielezwa kuwa na mvutano unaozidi kuongezeka katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi huo.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, migogoro kati ya vyama vya siasa na viongozi wakuu wa kitaifa inaendelea kuathiri mwenendo wa uchumi wa Kenya.Taarifa mbalimbali zinazochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha kuwepo kwa sintofahamu ya kisiasa inayojitokeza wazi, hali inayozua wasiwasi kuhusu uthabiti wa uongozi wa nchi hiyo.
Hali hiyo imesababisha kushuka kwa imani ya wawekezaji wa ndani na wa kimataifa. Benki ya Dunia inaeleza kuwa mazingira ya kisiasa yasiyo na utulivu huathiri uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni, husababisha kukimbia kwa mitaji na kudhoofisha masoko ya fedha pamoja na fursa za ajira.Aidha, mvutano wa kisiasa unaathiri pia utekelezaji wa sera za fedha na miradi ya maendeleo.
Benki Kuu ya Kenya inaweza kukabiliwa na changamoto ya kudhibiti mfumuko wa bei, hali inayoweza kusababisha kuongezeka kwa viwango vya riba na kupunguza shughuli za biashara, utalii na uwekezaji wa miundombinu.
Benki ya Dunia imeonya kuwa endapo hali ya kisiasa itaendelea kuwa tete, Kenya inaweza kushindwa kufanikisha mipango yake ya maendeleo ya muda mrefu. Ripoti hiyo inaeleza kuwa ucheleweshaji wa sera za kiuchumi na kupungua kwa uwekezaji vinaweza kuongeza kiwango cha umaskini na ukosefu wa ajira nchini humo.
are you asking me or explaining to samoeliDon’t be such a clown man, why are you posting randomnly do you really understand some of the posts you are reposting here? How many Kenyans mind increasing their monthly savings for future?
and which is the poorest betwen usEbu tuonyeshe mahitaji ya kisasa which Kenyan built buses doesn't have, alafu ona vile wewe ni mpumbavu, unashangilia importation instead of focusing on local bus building industry? No wonder Tanzania will forever remain among the Least Developed Countries.
kuna mtu alieleta post jana wanawake wakilalamika, waliandamanaHii ni shida ya kunyaland yote.
Watu wana maisha magumu hakuna matumaini, mfukoni pesa hawana. Wako na njaa kali.... hawawezi kupiga show..
Watuambie tukawasitiri dada zao na wake zao... Ila wajifunze kutumia maji kwanza.
View attachment 3535374