stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,718
- 15,618
kama utan vile, alafu wakasema temporary seats 🤣 🤣 🤣 🤣
kama utan vile, alafu wakasema temporary seats 🤣 🤣 🤣 🤣
ilikua kwenye news jana ITV, nmeipost apaEconomy on Paper, Hunger in the Stomach
WFP Warns of Unprecedented Hunger in 2026, Kenya Named a Top Hotspot
As the UN World Food Programme projects a staggering 318 million people will face acute hunger globally in 2026, a new report identifies Kenya as a crisis hotspot, with millions of its own citizens threatened by drought, high food prices, and conflict.
hua mnasumbua sana kwenye kulipa, most of the market tz has shifted it to other countries! btw ilikua jana kwenye news huu mwaka might be bad sasa ndo mtajua GDP sio chapoo dondooKuomba ama kununua?
inaishaje mtu ana usafiri huukwani hii battle bado haijafikia muafaka🙄, yani imeanza toka nipo sekondari mpaka leo ni miaka 9 na theluthi🙌
Hiyo picha hapo juu ndio makao makuu ya jeshi Dodoma?View attachment 3532521
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 20 January 2026, amefanya ziara za kikazi kutembelea na kuona maendeleo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo na Mradi wa ujenzi wa Hospitali Kuu ya Kanda ya Jeshi yenye hadhi ya "Ngazi 4" Msalato,jijini Dodoma.
Katika ziara yake hiyo ya kutembelea Miradi hiyo inayotarajiwa kukamilika hivi karibuni, Waziri wa Ulinzi na JKT aliambatana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Salum Othman pamoja na viongozi wengine waandamizi toka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga na JWTZ.
View attachment 3532522
View attachment 3532523
kuna wengine uku wameweka visiti foodJuu Rwanda walisema Visit Rwanda pia nyinyi mmeona muweke hiyo? Kwani hamna creativity ya kutoa slogan yenu? 🤣 🤣
World War II relic 😁inaishaje mtu ana usafiri huu
View attachment 3532905
ukishuka lazima usiku uoteWorld War II relic 😁