Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1768989954986.png


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 20 January 2026, amefanya ziara za kikazi kutembelea na kuona maendeleo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo na Mradi wa ujenzi wa Hospitali Kuu ya Kanda ya Jeshi yenye hadhi ya "Ngazi 4" Msalato,jijini Dodoma.


Katika ziara yake hiyo ya kutembelea Miradi hiyo inayotarajiwa kukamilika hivi karibuni, Waziri wa Ulinzi na JKT aliambatana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Salum Othman pamoja na viongozi wengine waandamizi toka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga na JWTZ.

1768989978502.png


1768989992242.png
 
You should thank the new format bongolala. You sailed through as a third placed team. Third-placed teams have always been eliminated in this tournament, untill the format changed this year. The fact remains Tanzania is the only country without a win in AFCON matches
skia hii pimbi, kwan ivory coast walibeba waktokea nafasi ya ngap?
 
Back
Top Bottom