Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
wanadai ni sample! 😀 😀

wanadai ni sample! 😀 😀

Mtakuja kuomba chakula Tanzania!Huku si praise and worship kama kwenu, kuna UHURU WA HABARI na uwezo wa kukosoa serikali
Hamna news hapo,
Kuomba ama kununua?Mtakuja kuomba chakula Tanzania!
Juu Rwanda walisema Visit Rwanda pia nyinyi mmeona muweke hiyo? Kwani hamna creativity ya kutoa slogan yenu? 🤣 🤣
Hata hao wenyewe wako embarrassed with their stadium, they are now blaming the cameraman 😂😂😂Ze most modern stadium in ze whole of Africa😂😂😂🙌... View attachment 3532816View attachment 3532817
But you got the inferior SGR, that's why it's stalling everyday 😂😂Time will tell hatupigi kelele SGR ilikuwa hivihvi!
Unataka kukataa tunawalisha? Na mtatrmbeza Bakuli Tanzania? Kulula iliishia wapi vile?Huku si praise and worship kama kwenu, kuna UHURU WA HABARI na uwezo wa kukosoa serikali
Hamna news hapo,
Ilibidi tupelekee mechi zingine tunguu kaka tumfurahishe kamanda 😁Hata mimi nashangaa Afcon Dodoma ingetangaza SGR, Msalato airport na Jiji la Dodoma!
Nasikia Kagame anazengea zengea. Huenda Afcon isifanyike Kenya. Yetu macho tutaona. Maana Wakenya waliamua kupiga siasa kwenye media. TZ imeamua kwenda chinichini. Mtakuwa mnasikia kilio tu.Ilibidi tupelekee mechi zingine tunguu kaka tumfurahishe kamanda 😁
Hata kule kunastahili kumbuka malazi kule ya kumwaga na hata infrastructure is on top! ila na Dodoma pia ingekuwepo pamoja na kwamba malazi Dom bado yanazingua!Ilibidi tupelekee mechi zingine tunguu kaka tumfurahishe kamanda 😁
Hata hao wenyewe wako embarrassed with their stadium, they are now blaming the cameraman 😂😂😂
View: https://x.com/i/status/2014241697249583407
overall nyie wote ni praise and worship, tukisema apa mna njaa, hua mnajibu nn 🤣 🤣 🤣Huku si praise and worship kama kwenu, kuna UHURU WA HABARI na uwezo wa kukosoa serikali
Hamna news hapo,
Hata hao wenyewe wako embarrassed with their stadium, they are now blaming the cameraman 😂😂😂
View: https://x.com/i/status/2014241697249583407
kaza sauti mbna unaongea kwa kujiiba, you mean this 🤣🤣🤣🤣But you got the inferior SGR, that's why it's stalling everyday 😂😂