stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,888
- 34,660
imagine visit kiberaJuu Rwanda walisema Visit Rwanda pia nyinyi mmeona muweke hiyo? Kwani hamna creativity ya kutoa slogan yenu? 🤣 🤣
imagine visit kiberaJuu Rwanda walisema Visit Rwanda pia nyinyi mmeona muweke hiyo? Kwani hamna creativity ya kutoa slogan yenu? 🤣 🤣
Watanzania wanatamani Sana Talanta. Uwezo WA kujenga ndio hawana.Ingekuwa ni Kenya wamepost Arusha wakasema ni yao leo hii ungekuwa wimbo huko Bongolala.
'Wakenya wametuibia Kilimanjaro, Olduvai na Arusha Stadium' 🤣 🤣
Watanzania wanatamani Sana Talanta. Uwezo WA kujenga ndio hawana.
View: https://x.com/i/status/2013962792374518087

Matofali "bricks" stadium! 🚮mngetulipia nan transport pia
View attachment 3532555
Dar es Salaam Uwanja wa Taifa
View attachment 455960 View attachment 455961 View attachment 455962 View attachment 455963 View attachment 455964

ukiwaskiliza wakenya wa jamii foru unaweza kusema kenya ni nchi ya maaana, yaani nko naangalia news leo mpaka nawaonea huruma tena
View: https://youtu.be/lN-IyzJ9MAk?t=2404