Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Okay Xi jinping, tell me why as you tell me the per capita GDP if the 2 countries, or any index/metric which shows Tanzania ahead of Kenya
Hakuna kitu hukasirisha walazy kama those 3 metrics za GDP na HDI
 
saf sana, yaani dar kwenda zenj kipindi cha afcon inakua chap sana sio kama jamaa flan sjui wageni wataenda wap afcon 🤣 🤣 sema ule uwanja wa dodoma ungekua wa afcon pia ungekua saf kabisa, mshabiki anatoka dar kucheki mechi alafu dodoma mechi inaofuata 3 hours upo dodoma, ingekua ile ya kenya pale kutoka nairob kwenda mombasa refa ashapigwa wewe ndo unafika
 
Hata mimi nashangaa Afcon Dodoma ingetangaza SGR, Msalato airport na Jiji la Dodoma!
 
what does it help having a high GDP? the only thing that makes sense is exports meaning your even adding more money to your country but what will a gdp do?
Export is what forms GDP, but how will donkey like you know such?
 
Kilwa Masoko fishing port

1768926516959.png
 
saf sana, yaani dar kwenda zenj kipindi cha afcon inakua chap sana sio kama jamaa flan sjui wageni wataenda wap afcon 🤣 🤣 sema ule uwanja wa dodoma ungekua wa afcon pia ungekua saf kabisa, mshabiki anatoka dar kucheki mechi alafu dodoma mechi inaofuata 3 hours upo dodoma, ingekua ile ya kenya pale kutoka nairob kwenda mombasa refa ashapigwa wewe ndo unafika
Mashabiki gani unaongelea? The only fans that will be attending matches ni watanzania but we all know hamna uwezo WA kujaza stadiums. CHAN really exposed your lies about loving football 😂😂
 
who told you hatujazi uwanja? CHAN tulishawaambia ni mashindano mabovu and eventually yamefutwa! CHAN sio afcon dogo, in AFCON countries come with fans the same way you see fans wa nigeria, south africa, senegal au hujaangalia afcon dogo
 
Back
Top Bottom