stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,339
- 33,847
Yani hawa watu wamefuata Speed Hadi Morocco wakimbembeleza aende Tanzania?😂😂😂
Alafu mwenye anaongea na yeye hata hashuguliki na yeye.
View: https://x.com/i/status/2012983523657805894
Where is the picture of construction progress?The supporting infrastructure, including the access roads (4KM) connecting the stadium to the main road, is scheduled to be completed by July 2026.
Mechi hazita chezwa Dom?Anamaanisha hii! Kuna sehemu kubwa haina rail! Sijui kwann mechi hazitachezwa Dodoma? Ingewafunga mdomo Hawa wajinga!
![]()
Mechi kwa Tanzania zitachezwa Dar, Zanzibar na Arusha!Mechi hazita chezwa Dom?
Ndio nasikia kwako.
Hakuna Kitu imewauma kama Speed kukosa kwenda Tanzania😂😂😂Wanajifanya hawajali kumbe wanajifungia vyumbani wakilia. 🤣 🤣
yes dom sio uwanja wa afcon bali ni kuongeza tu idadi ya viwanja nchiniMechi hazita chezwa Dom?
Ndio nasikia kwako.
aje afanyaje sasa na watu hawako idle, btw leo mbna hampost picha za raila stadiumHakuna Kitu imewauma kama Speed kukosa kwenda Tanzania😂😂😂
we need more photos of amolo stadiumWanajifanya hawajali kumbe wanajifungia vyumbani wakilia. 🤣 🤣