Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,778
- 103,625
Barabara ya kwenda Samia Stadium ni vumbi. Nishaipita.Sio Ukunduni? Tupe sababu kwann Ukunduni mmeweka viwanja vyote Nairobi? Sisi Zanzibar, Dar es salaam, Dodoma na Arusha kote kunafikika kirahisi kuanzia viwanja vya ndege, modern speed boats mpaka kwa treni mpaka kwa mabasi ya mikoa! tena kwa Dar tuna mpaka BRT!
Kuna barabara ya Arusha Stadium? Mnajenga watu uwanja kwa msitu what do you expect?Sio Ukunduni? Tupe sababu kwann Ukunduni mmeweka viwanja vyote Nairobi? Sisi Zanzibar, Dar es salaam, Dodoma na Arusha kote kunafikika kirahisi kuanzia viwanja vya ndege, modern speed boats mpaka kwa treni mpaka kwa mabasi ya mikoa! tena kwa Dar tuna mpaka BRT!
Na hakuna dalili ya Lami kuwekwa hapo kabla ya 2027.Barabara ya kwenda Samia Stadium ni vumbi. Nishaipita.
kwahiyo itabaki hivyo? BTW nimesahau vituo vya mabasi vya kisasa! kituo cha Mabasi Bondeni city Arusha!Barabara ya kwenda Samia Stadium ni vumbi. Nishaipita.
Hapo mashabiki watakula vumbi hadi wachokeNa hakuna dalili ya Lami kuwekwa hapo kabla ya 2027.
kwahiyo itabaki hivyo? BTW nimesahau vituo vya mabasi vya kisasa! kituo cha Mabasi Bondeni city Arusha!
View: https://youtube.com/shorts/2LmPTFdmNPw?si=U-Ek2QkkLVi5LhIa