NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,384
- 17,966
Yani hawa watu wamefuata Speed Hadi Morocco wakimbembeleza aende Tanzania?😂😂😂
Alafu mwenye anaongea na yeye hata hashuguliki na yeye.
View: https://x.com/i/status/2012983523657805894
Wanajifanya hawajali kumbe wanajifungia vyumbani wakilia. 🤣 🤣