Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
reactions of some kenyans on twitter when they heard the latest news about our SGR.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Watakubali tu mkuu
 
this isn't the first time i hear news concerning same issues.

if i'm not mistaken,last year more than three buildings collapsed in kenya.

huwa najiuliza,hao wahandisi ujenzi wenyu huko vyuoni wanaenda kusomea ujinga?.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Mwaka jana daraja lilidondoka hata kutumika ilikua bado...viongoz wa kenya wezii
 
Hiyo ujinga walisomea ndo walitumia kuwajengea ile TPA yenu mnaringa nayo hapa
 
Tukiweka kando ushabiki, unachosema kina kweli. Nilishangaa wakati ule Rais aliyepita aliposema hata yeye hajui kwa nini hali iko hivi!...
 
Niliishakwambia hao millionaire wengi mmoja ni mume wako au mpenzi wako???anakusaidiaje na utajiri wake.wapeni kazi ya kuondoa njaa hapo kenya.tuna more than two billionaires nyie hamna hata mmoja.na husikii tukipiga kelele.
Anaipa Kenya...kuwa mbele ya tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…