Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ask yourself why he mentioned Kenya and not Tanzania.
1768323013909.png

hii bandari yenu ni pambo nn, hata uganda wanawashinda
 
But how does speed attract tourist while most of his audience has youth and broke?
Ishowspeed ana fans wengi kuanzia broke people hadi ambao wana hela
Kwa hiyo anaweza kutumika kuitangaza nchi kama akiitembelea. Sio kwamba yeye ndio anatangaza nchi kwa 100% lakini ni moja tu kati ya factors nyingi zinazoweza kutangaza nchi.
Kuna namna nyingi sana za kutangaza nchi, na hii ni mojawapo
 
influence yake ni ndogo sana kwa watu wa kipato cha juu, kuna mp mmoja wa kenya aliuliza how idle are kenyans baada ya kuona ule umati wa watu waliofurika kumuona speed but ndo target audience yake hao! watu wengi wenye kipato cha juu hata akaunti za mitandao ya jamii rarely utawakuta nazo
 
Yes I watched the clip several times and that was not a penalty .. your player just got outmatched and outmuscled. But overall , Tanzania played a good game to my surprise.
You are trying so hard 😂
Try again, try harder😂

View: https://x.com/grok/status/2010972118033252561

View: https://x.com/MickyJnr__/status/2010815498548834504

View: https://x.com/Royal_Tv_Tz/status/2010998448040886768

"But overall , Tanzania played a good game to my surprise."
~ Tatizo letu kubwa ni TFF na aina ya makocha wanao waajiri, Kocha Gamondi kachukua timu just two weeks kabla ya mashindano na umeona jinsi ligi yetu ilivyo ya viwango vya juu.
 
Back
Top Bottom