Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,711
Sasa hiki ni kitu cha kuonea wivu?Wewe unaona wivu uwanja wa Arusha ni mzuri kuliko Talanta water tank 😂😂😂
Halafu leo ni birthday yangu, sitaki ku argue sana. Ila stadium yenu ni mbaya hata nyinyi mnajua. Good night 🥱