Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So you accept that Kenyans are the ones that indeed run Tanzanian tourism industry?

Wana run kwenye ndoto zao labda...

Hebu weka hapa hata wakunywa wawili tu wanao run hizo biashara za utalii hapa.
 
GDP per capita ya Botswana ni 3 times ya Kenya na bado sio 1st world country. Wewe utakufa na utaiacha Kenya hivyo hivyo haijafika 1st world
Na kingine GDP per capita yenu inashinda ya Tanzania lakini sisi tuna maisha mazuri kuliko nyinyi.
Ubora wa maisha is measured in GDP per Capita, sio story za vijiweni na ndoto za abunuasi
 
Sio kweli. Finland ina less than 66000$ per capita income na USA ina around $89000 per capita income
Lakini Finland ina higher quality of life than USA
Kwa hapa East Africa Kenya ni extremely capitalist na land ni expensive na cost of living ni kubwa kuliko Tanzania kwa hiyo maisha ni magumu kwa most Kenyans despite having higher GDP
Capitalism sio system nzuri ya maisha lakini tunaiishi kwa sababu system nyingine zilizopo ni mbaya zaidi. But we all know how it works, unaweza kuwa na more companies, more industries hence more GDP but majority of people wanaishi kwenye extreme poverty.

Mbaya zaidi Kenya ni extremely capitalist country kwa hiyo watu wanaishi kwenye poverty huku they have to face high cost of living, expensive land, plus na huo ukame na vile most of your food mnaagiza kutoka nje ya Kenya it just makes it harder for most Kenyans to afford eating three times a day
Tanzania kuna uchumi mdogo kuliko Kenya lakini kwa Watanzania wengi maisha ni nafuu ukifananisha na Kenya
 
View: https://x.com/krazzm/status/2011089541869015489?s=46
 
Back
Top Bottom