Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,054
- 33,291
Endelea kulia.Hii stadium kila nikiangalia nacheka tu. Out of all designs, you chose this. Why 😂😂
View attachment 3528902
View: https://youtu.be/_Ud1wIoY5sc?si=vZp97iB6g22sHoyh
Endelea kulia.Hii stadium kila nikiangalia nacheka tu. Out of all designs, you chose this. Why 😂😂
View attachment 3528902
Are you not a school kid? Hata CAT hujafanya na unapiga kelele hapa.Mimi nasoma, ni hizi 3 days nimeamua kuwa free. Na mada za elimu ni wewe ndio unaanzisha always baadae nikikujibu unaanza kulia kama mtoto mdogo 😂
the whole Ruto left his duties to welcome that boy! That#s embarrasing...!
View: https://youtu.be/9qflwbqoDqo?si=NdTDsXNGBy-WcRh8
Tulia wewe Mkundustan 🤣🤣Are you not a school kid? Hata CAT hujafanya na unapiga kelele hapa.
Wamefeli parefu, Allianz Arena looks so modern. Hii ya Kenya ni kama ilijengwa 1990s
Now, Just imagine if speed angepewa aerial tour kule dar🙌😂😂😂😂...hawa watu wange embarrass Africa mzima with those dream houses of theirs blanketing the entire city😂😂😂😂...
View: https://vm.tiktok.com/ZMDhPJRe8/
"Anataka msijisikie vibaya, na hiyo stadium yenu ya matakataka"😂😂😂😂😂🙌...Ishowspeed anafanya hivyo ili mjisikie tu vizuri
Wakenya mlimpa Ishowspeed ugali bila mboga yoyote, yani mlimpa ugali mtupu akauonja halafu akausifia kuwa ni mtamu. Since when ugali ukawa mtamu bila mboga yoyote jamani 😂
Anataka msijisikie vibaya, na hiyo stadium yenu ya matakataka
Mbona yenu mzuri haijawi kuongelewa in any channels that deal with futuristic stadiums? In East Africa it's always Talanta Stadium.Stadium mbayaaa
You think? Wewe Kila kitu unatoa akilini. You can't prove anything you say herezipo nyingi, nakumbuka kuna a tz alikua anauza njugu alikuja jamaa mmoja i think from mombasa akazimwaga akasema warudi kwao
Wewe hebu chunga!, ukilia sana makamasi itakunyonga 😂😂😂...Mpelekeni Kibera akapaone 😂😂😂
mind u 85% of buildings in Nairobi r misfit! so u can't brag of Nairobi!The first of many Skyscrapers to come up at Tatu City, alafu kuna kunguru bado wanataka kuilinganisha na Dodoma.
Twin Tower of 31 floors and 20 floors.
View attachment 3528937