Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wengi Kibera may not be richer than him but I can bet on my three cents that watu wengi Kibera are richer than you who lives in Tandale and believes he doesn't live in a slum
sasa anakuaje rich than kibera na tayar ni world poorest? umechanganyikiwa?
 
ushaanza kukimbia mada 🤣 kwan nani hajui kuna NSSF kenya pia na toka lini pension fund wanatoa dividends 🤣🤣 yaani kwa kifupi ulitakiwa uelewe toka mwanzo wakati tunakwambia hio project lazima mlie after AFCON
Mbona tulie? Kenyans will be laughing all the way to the bank. And who talked about dividends here? Do you see how foolish you are? Know the difference of dividends and interest.
 
ATI umenifindisha about bonds? The same guy mwenye haelewi how interests za bonds are calculated anaifundishe? Wewe maybe unifundishe ujinga😂😂😂
haya tuseme sijui about bonds, tuonyeshe how private buyers wa talants bond mr teacher
 
Mbona tulie? Kenyans will be laughing all the way to the bank. And who talked about dividends here? Do you see how foolish you are? Know the difference of dividends and interest.
and which pension fund pays interest on bonds 🤣 🤣
 
Mbona tulie? Kenyans will be laughing all the way to the bank. And who talked about dividends here? Do you see how foolish you are? Know the difference of dividends and interest.
btw do you know how worse kenya economy is? give me data on exports and import for kenya you will understand why you have to sell state properties
 
Mbona tulie? Kenyans will be laughing all the way to the bank. And who talked about dividends here? Do you see how foolish you are? Know the difference of dividends and interest.
this is how kenya economy is so bad
1767815837062.png
 
haya tuseme sijui about bonds, tuonyeshe how private buyers wa talants bond mr teacher
Do you know anything about trickle down effects?

Those who could not invest the 1M just gave their money to those institutions you highlighted above to invest for them. The institutions will take just a percentage of the interest and give the common mwananchi majority of the remaining interest.

Usipoelewa hiyo then hakuna tofauti Kati yako na kondoo.
 
we acha kubadilisha direction, ulikuja apa unasema bond zilinunuliwa na citizens na nkakurekebisha kwamba hakuna citizen alinunua hio bond, nkakwambia leta hizo data ama mtu unaemjua kanunua talanta bond mpaka sasa kimya of which sio kesi

2) nimekwambia hakuna pensio fund inatoa interest and dividend saahv unataka kuelezea cheap economies kwamba wananchi walitoa ela yao kwa pensio funds and watapata return of which najua kabisa what u want to say and again pensio funds are there to ruin employees, they are just hidden banks as you only get money ushastaafu and ni ela ndogo sana ya kukusaidia kununua sehem ya burial
 
Uelewa wako ni mdogo Sana. What's your level of education?
 
Please remind who has the bigger GDP between the two? Who collects more revenue between the two?

Unatuonyesha trades za minerals which zote zinachukuliwa na wazungu tufanyie nini?
GDP ina influencers, for example a gdp inaweza ikawa inatoka 40% from mining alone ama tuseme service alone so this isnt a big deal in economies than exports, when you export your country earns new money rather than GDP which might comes from inside activities nothing new is added to the economy, however amnot disrespecting GDP but thats the fact, pia GDP is self created and can vary from different observes for example world bank can say kenya gdp grows by 2% while CBK can say 5%, so overall itsnot a good indicator of a country progress!
 
🤣 🤣 🤣 🤣 nataka hata mtu mmoja alielipwa returns na NSSF and nionyeshe bata mwenye 3 legs
ULisema pension schemes are not giving interest, after your stupidity have been exposed so unataka kuona mwenye alilipwa hizo interests.

Kweli ujinga ni laana.
 
Back
Top Bottom