Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimeshindwaje? all claims niweke evidence apa! if your asking of the prev question a link ya how kenyans were voted sina, ilikua ni event ya miaka mingi nyuma and badly nyie mpira mmeanza kujua juzi, there is no way naweza kupata extra links but it was live that day tunapata bid hence the emotional video i sent, other than that amna kingine mmeuliza sijawapa!
So kama unajua huna evidence mbona unatusumbua bure. Hapa watu wanatumia evidence bongolala. Kama huwezi toa evidence kwa kitu ubasema then hiyo inabaki ni umbea, peleka vijiweni hukoooo
 
1767813869594.png

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
So kama unajua huna evidence mbona unatusumbua bure. Hapa watu wanatumia evidence bongolala. Kama huwezi toa evidence kwa kitu ubasema then hiyo inabaki ni umbea, peleka vijiweni hukoooo
seems topic imekuingia vizuri 🤣 🤣 that was a good job
 
So World Bank ni propagandists?🤣🤣🤣
Wewe ndio msema kweli hapo Tandale, sivyo?😂
lets take it as true, twende kwenye stats zingine! nitajie top 10 countries by biggest slums in africa kama tanzania ipo, alafu tuambie hao extreme poverty mmewatoa wap
 
And who told that poverty is measured by the number of people living in slums? Hivyo ndiyo ulifundishwa Tandale Primary?

Bongolala, poverty is measured in many ways: relative poverty, absolute poverty and multidimensional poverty. All these factor in several things

If slums was the base on which poverty is measured, then Tanzania (which believes doesn't have slums) would be having richer people than the US which has slum areas.
 
sisi sio wajinga, unamjua the poorest man on earth?
1767814648794.png

sasa chagua kati ya uyu na anaekaa kibera alafu tuambie nani anastahili kuitwa poor
 
And who told that poverty is measured by the number of people living in slums? Hivyo ndiyo ulifundishwa Tandale Primary?

Bongolala, poverty is measured in many ways: relative poverty, absolute poverty and multidimensional poverty. All these factor in several things

If slums was the base on which poverty is measured, then Tanzania (which believes doesn't have slums) would be having richer people than the US which has slum areas.
on top of that US doesnt have slums, india is the biggest slum dweller then followed by kenya
 
Hiyo video inahusiksje na madai yako kwamba Tanzania and Uganda chose Kenya to host opening and closing ceremonies? Us that the evidence you have? Wewe ni wa kupuuzwa tu sasa
kwan nimekwambia hio ndo evidence ya hio topic, did you read well were the topic ya hio video started 🤣 🤣 🤣 tunataka tuwaweke where you belong
 
Back
Top Bottom