kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,264
- 5,409
Ni gani hapo nimetaja haijajengwa?onyesha 112 km highway already built hapo Ukunduni! Kama si kelele za kupewa mikopo tangu enzi ya Uhurunye! Tumeambiwa Mchina kakubali ku-finance sasa onyesha hiyo barabara!
If we start talking of roads in the process, utajificha chini ya meza 😂 😂