The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
ππππππππππππππ
Nakwambia yameumia kweli kweli, huwezi kuyaona kwa sasa, yamejificha yanasubiri kwa hamu mechi ya stars na Morocco ili yaongee, but hayawezi kuepuka ukweli kwamba tumevuka ππππππNa wajue hii ni AFCON sio CHAN. πππ
Kikubwa imeshaandikwa Tanzania imefuzu 16 bora. πππNakwambia yameumia kweli kweli, huwezi kuyaona kwa sasa, yamejificha yanasubiri kwa hamu mechi ya stars na Morocco ili yaongee, but hayawezi kuepuka ukweli kwamba tumevuka ππππππ
Vijamaa vilikuwa kwenye TV vinashangilia Tunisia maanake wanajua hadi Tz inacheza na nani wakati mimi nilikuwa hata sijui.View attachment 3522930
ππππππππππππππ
Leo wameumia kweli kweli, huwezi kuwaona. Tuliwaambia Tz ni footballing nation wakabisha, leo hawana cha kuongea, na hii tutawachapa nayo miaka nenda rudi mpaka Yesu arudi mana wao hawana uwezo wa kufika group stage π π π π π π π π π π π πVijamaa vilikuwa kwenye TV vinashangilia Tunisia maanake wanajua hadi Tz inacheza na nani wakati mimi nilikuwa hata sijui.
π unfortunately we can see beyond this falacy.Mmeichukulia kishari sana, wakati Mimi nilitaka kujuwa tuu kama hiyo ngao inaasili na kabila lolote Kenya. Kama sivyo mngetuelimisha sisi tusio Wakenya.
You donβt need to have such a crazy level of emotional intelligence or discernment to understand whether that question was genuine or sarcastic.You read too much into it.
These guys know Mosiria π πThanks to mosiria, you know who is the GOAT of slums in afrika?
Pengine ni wakenya walivuka border wakaweka sabotage πHali ni mbaya. On Sunday nilikuwa narudi na train ya jioni. Ikaahirishwa for 24hrs. Monday nikapanda bus. I dont know if there is any sabotage but kwa hizi siku tatu hali ni mbaya sana.
Nairobi ni kama village unaingia na kutoka mda wowote, ni nyie tu uku mnahangaika na renders but tukianza kunyoosha maelezo nairobi ikoje utaaibika sanaThese guys know Mosiria π π
How badly obsessed are you guys with Kenya in general. You seem to know too much.. I should pull up my socks coz who is the Vice President of TZ btw
wenzako wanahost afcon wewe unahost twigaKenya is the only country to host 3 of the 4 giraffe species on the planet. Now you know
Ngao ya kizulu ni tofauti na ile ya kisukuma, au ya kimasai, sasa nilitaka kujuwa kama hii yenu inawakilisha ngao ya kabila fulani ama laa? You seem triggered though. I wonder why?π unfortunately we can see beyond this falacy.
1. Yourβe African- pretending hujui maana na asili ya ngao ni nini
2. Mtanzania na mna ngao kwenu
3. Kufanya research ni simple but you decide to play us