Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndiyo maana halisi ya uwekezaji, tuliwaambia hiki tunachofanya kuwekeza mabilioni ya pesa kwenye NBC ipo siku itatulipa yakabisha, ona sasa stars inamhenyesha mtunisia, na kukosa mbeleko za refa kutoa penalty ya uongo na kweli ilikuwa tunashinda hii mechi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎆🎆
 
Screenshot_20251108_144324.jpg

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Vijamaa vilikuwa kwenye TV vinashangilia Tunisia maanake wanajua hadi Tz inacheza na nani wakati mimi nilikuwa hata sijui.
Leo wameumia kweli kweli, huwezi kuwaona. Tuliwaambia Tz ni footballing nation wakabisha, leo hawana cha kuongea, na hii tutawachapa nayo miaka nenda rudi mpaka Yesu arudi mana wao hawana uwezo wa kufika group stage 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom