Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuko vizurii mazee dah.. Tumewakamata wakenya wengi tz.. Wapo vituoniii wananyea ndooo.. Watatema bungooo... Tuumbuee mitandao yote yaoo
 
Ayo ni watu wa kwanza. Ni fact na Kenya imekuwa ikifanya hivi kwa muda dhidi ya Tanzania.

Media za Kenya, activists wako kwenye malipo kuendesha ajenda mbovu dhidi yetu na hii ni fact iliyokuwapo tangu 1960s

Sikatai Kenya kutuchafua, hiyo inajulikana ila hii ya huyo jamaa kukamatwa, halafu Ayo kuiongelea, ni kama kutengeneza mazingira ya funika kombe.

Mbona kwenye mauaji hakuwahi kutangaza, vipi kwenye maandamano? Ndugu wamekataliwa kuzika wapendwa wao, Ayo hata hakuwahi kuripoti.


Media ya Kenya ikireport killings zinazifanyika Kenya ama Uganda pia huwa wamelipwa? Shida ya kukosa media freedom huwa mnaona mnachafuliwa jina kisa all negative news from your country are reported by foreign media.
 
Same script Just like winning with 98% of 31 million and foreigners were the protestestors
propaganda ya watu hawajaenda shule, ati Mtu aende na teargas nne kwa border, obviously planted evidence
Alafu mtu mwenyewe ni US trained soldier. And people like REAL Comrade Kipepe are running away with it.😂😂😂
 
Museveni anafanikiwa soon... Mama anamsapoti 100%
1000207196.jpg
 
Mama ni tunu ya taifa.. Lazma tumlinde kwa nguvu zoteee... Mtandao wa Kenya tunazidi kuumbuaa
1000196292.jpg
1000207331.jpg
 
Ruto really toiling for his second term ain’t gone lie
View: https://x.com/williamsruto/status/1990349294067433704?s=46

I predicted this wantam thing might die off by 2027 if all the projects are done without corruption hick ups . I think he’s taming corruption to save himself. You can see it in the affordable housing construction process , CAIP and BETA programs. He’s on top of things for now ..Still he has some house cleaning to do in other areas but soon even Gen Zs will start warming up to him .. watch this space.
 
Back
Top Bottom