bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,731
- 2,293
Huyu mkenya tumemnasa apo sirarii... Sasaa tunamfinya pumbunyo hadi ateme bungoo. Kaingia cha kike huyuu. . Atafichua mtandao wote wa wakenya ambao wamewaua watz mnoo.. Ni swala la mda tu
Huyu mkenya tumemnasa apo sirarii... Sasaa tunamfinya pumbunyo hadi ateme bungoo. Kaingia cha kike huyuu. . Atafichua mtandao wote wa wakenya ambao wamewaua watz mnoo.. Ni swala la mda tu
View attachment 3503093
Maneno ya wanaume hayo, kukosana ni lazima lakini maisha lazima isonge mbele.
View: https://x.com/kenyasgossips/status/1989937749059682466?s=20
Ayo ni watu wa kwanza. Ni fact na Kenya imekuwa ikifanya hivi kwa muda dhidi ya Tanzania.The fact that Ayo is reporting this, suggests that it could be a spin.
Sikatai Kenya kutuchafua, hiyo inajulikana ila hii ya huyo jamaa kukamatwa, halafu Ayo kuiongelea, ni kama kutengeneza mazingira ya funika kombe.Ayo ni watu wa kwanza. Ni fact na Kenya imekuwa ikifanya hivi kwa muda dhidi ya Tanzania.
Media za Kenya, activists wako kwenye malipo kuendesha ajenda mbovu dhidi yetu na hii ni fact iliyokuwapo tangu 1960s
Hawa ni chawa wa utawala huu uliofeli, ila report hii hata vyombo vikubwa Kenya vimeripoti.Sikatai Kenya kutuchafua, hiyo inajulikana ila hii ya huyo jamaa kukamatwa, halafu Ayo kuiongelea, hii ni kama kutengeneza mazingira ya funika kombe.
Mbona kwenye mauji hakuwahi kutangaza, vipi kwenye maandamano?
Nachoangalia ni uzito wa jambo, iwe kweli huyo jamaa alikuwa na mabomu manne ama laa, huwezi linganisha maafa ya kuuliwa watu zaidi ya 10,000.Hawa ni chawa wa utawala huu uliofeli, ila report hii hata vyombo vikubwa Kenya vimeripoti.
Nachojua ni kuwa, mauaji yale yote hayakufanywa na vyombo vya dola pekee bali wapo mamluki wenye agenda walifanya yao pia.
Hao mamluki waliletwa na nani?Hawa ni chawa wa utawala huu uliofeli, ila report hii hata vyombo vikubwa Kenya vimeripoti.
Nachojua ni kuwa, mauaji yale yote hayakufanywa na vyombo vya dola pekee bali wapo mamluki wenye agenda walifanya yao pia.
Tear gas ndio mnaita bomu. 😂 😂
Na bomu yenyewe mtaita aje?
Finyeni kabisa aeleze ametoa wapi. Ata sisi tunataka kujua.
Lakini isikuwe mnachezewa propaganda kwa ujinga wenu. 😂😂
The only beneficiary hapa ni ngamia suluhu hassan, ambaye anataka deflection kutoka kwa ukatili aliofanya.
Kuna uwezekano 98% hakuna 'mabomu' yamepatikana kwa gari lake. Hayo kwanza yanakaa standard issue ya polisi Tanzania.
Uwezekano mkubwa ni kwamba wametoa hapo storage, kijana akawa na bahati mbaya yeye ndiye Mkenya wameshika wa kwanza ambaye anafit profile believable.
This will be the legacy of President William Ruto. This road imetutesa Sana.
View: https://x.com/WilliamsRuto/status/1990349294067433704?t=HYjLO0aRsmOotzg5r1MASA&s=19
Huu uzi si wa siasaSame script Just like winning with 98% of 31 million and foreigners were the protestestors
propaganda ya watu hawajaenda shule, ati Mtu aende na teargas nne kwa border, obviously planted evidence
Unaezakufa ukipenda.Another Chinese toll road
Kwasababu ya Chinese toll road ?Unaezakufa ukipenda.
You ain't being serious.
Let's take these facts into consideration, a Kenyan dude in his country has no right to defend himself while a Chinese asshole in a foreign land has more rights to take matters in his hands, to do whatever he wants.
Does that make sense to you?
If the roles were reversed, the Kenyan dude would face maximum repercussions, in China. The fact that a foreigner can do that comfortably, speaks volumes.
100% correct.Wakenya ni opportunistic tuu, they're just riding with the wave. Ni Kikwete na mtandao wake walioichafua Tanzania. You don't have the balls to say it, 'cause you're chicken.
Kingine nilichogundua ni kuwa, Samia alikuwa staged kufanya matakwa ya mtandao lakini na yeye alikuwa na yake na sasa anayatekeleza ipadavyo: kuiharibu bara, kidinu, alijaribu kikabila na mbo yake ya uchifu lakini boss wa mtandao wakamstopisha.Nachoangalia ni uzito wa jambo, iwe kweli huyo jamaa alikuwa na mabomu manne ama laa, huwezi linganisha maafa ya kuuliwa watu zaidi ya 10,000.
Tujiulize , ni nguvu kazi ipi imepotea, ni watoto wangapi wamekosa wazazi?
Mchawi hapa ni hii serikali haramu ya wanamtandao, hawa wakenya wanaotumwa, hawana uwezo wa kutuharibia nchi tukiwa wamoja. Mtandao ndiyo wanaotugawa, kidini na kikanda ili watutawale vizuri.