Nimekaa na Wazanzibari, Wapemba ni watu poa sana, very humble na wanaakili sana. Waunguja wanazile pozi za kisultani, dharu na kujiona wao ndio waliostaarabika.
Samia ana-elements za kuchukia wabara, ona alivyogawa hovyo hovyo rasilimali kama bandari na Ngorongoro na ku mistreat wamasai.
Hii ya juzi ndo funga kazi, kaua indiscriminately hadi watoto, ni wazi anaishu flani na Watanganyika.
Sasa huyu Wanu na unaibu waziri wa elimu wapi na wapi? Wameshindwa kuwatafuta walimu wanaojua changamoto za mashuleni, kusimamia hiyo wizara?
Samia alishusha viwango vya ufaulu kwa mabinti, na mwaka huu, kila binti nayemfahamu alipata div 1. Wanaomzunguka wote machawa, watafanya kila kitu kumfurahisha.