Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sgr yao.eti walitegenenza 70ts.....hawa.....bongolalas enyewe ni senge2
 
Hata miji kumi mikubwa tz haimo ni manispaa tu lakini unaweza zidi miji mingi ya kenya
Ni lazima tu useme hivyo. Hiyo Iringa haifikii Kisii hata robo. Hiyo hata kwa Kitale ni ndogo sana. Chenye nimeona hapo ni kuwa iko na barabara pana, kitu ambayo kisii haina. Lakini kwa ukubwa na ujenzi, Kisii inaizidi mbali sana
 
Hii sio Tazara. Kwanza hawana locomotive za rangi hiyo pili hawana mataluma ya chuma wao wanatumia zege, hii picha labda ni ya huko Congo
Hakuna tofauti kati yenu na Congo
 
Ni lazima tu useme hivyo. Hiyo Iringa haifikii Kisii hata robo. Hiyo hata kwa Kitale ni ndogo sana. Chenye nimeona hapo ni kuwa iko na barabara pana, kitu ambayo kisii haina. Lakini kwa ukubwa na ujenzi, Kisii inaizidi mbali sana
hebu jaribu uone we iringa unaijua vzr weweπŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…