Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I genuinely want what is best for Tz,but the little I know about your politics and from the look on things hakuna mahala anaenda.
The next step ni kuapishwa and the protest will start to get tired like they have.
Nilikuambia from the beginning hamna haja ya umwagikaji wa damu na uharibifu wa mali.
But if tanzanians can sustain the demos,kuna vile anaweza kuja mkia.
Actually, Tanzanians have a better chance than our Gen Zs had because the army is on their side. The issue is can they sustain maandamano for long like Kenyans?
 
Mama yuko vizuriii.. Nothing changes, museveni forever yuko poaa
1000187717.jpg
 
Actually, Tanzanians have a better chance than our Gen Zs had because the army is on their side. The issue is can they sustain maandamano for long like Kenyans?
Am hearing the army is divided since mama has loyalist in the military otherwise wangekua washachukua nchi kitambo.lingine cdhani wabongo wana ustahimilivu wa kuendeleza maandamano for long, that's what samia is banking on.
 
Mama yuko vizuriii... Jwtz wako poaa.. Anaapishwa mda huu... Wanalikomboa afrika
1000187720.jpg
 
That doesn't mean shit.
Nafikiri labda jeshi wameona sio vyema kuweka jhistoria ya jeshi kuchukua nchi ili kusiwa na mwendelezo huko baadae. Ametangazwa na sidhani kama ataapishwa kama ilivyo kawaida kuapishwa uwanjani na sherehe na kualika marais. Ataabisha mahala na kutakuwa na ulinzi na aina hii ya uapishwaji ni dhahiri kuwa hatakiwi na wananchi na hana legitimacy ya kuongoza nchi. Hivyo baaada ya kuapishwa, then few hours or baada ya siku kadhaa atajiuzuru.

Hawezi kuongoza till 2030, I don't see this happening.
 
Are you listening to yourself,apishwe then ajiuzulu,be real bana.
Kama angekua na nia ya kutoendelea na uongozi angekua ashatii amri ya maandamano.
Mko na only two options
1) kuandamana hadi mwisho hadi atii.
2)mkubali yaishe kua nchi yenu inaongozwa na udikteta.
 
Nafikiri labda jeshi wameona sio vyema kuweka jhistoria ya jeshi kuchukua nchi ili kusiwa na mwendelezo huko baadae. Ametangazwa na sidhani kama ataapishwa kama ilivyo kawaida kuapishwa uwanjani na sherehe na kualika marais. Ataabisha mahala na kutakuwa na ulinzi na aina hii ya uapishwaji ni dhahiri kuwa hatakiwi na wananchi na hana legitimacy ya kuongoza nchi. Hivyo baaada ya kuapishwa, then few hours or baada ya siku kadhaa atajiuzuru.

Hawezi kuongoza till 2030, I don't see this happening.
Si unapenda kujidanganya Sana?😂😂
 
Back
Top Bottom