Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ni gas za Rostam Azizi, fisadi na sio maduka na vyakula kama njaa zenu. Watu wanadeal na mafisadi na bisghara zao tu na sio kama vyovyio njaa kali.
Huyo Rostam mmoja mwenye mmekuwa mkimsherehekea humu eti mna matajiri watainunua Kenya leo hii mnalia eti anawaibia. 🤣 🤣
BTW, ni wewe na bongo-live pekee ndio bado nko in denial. Wengine wamekubali mambo yalivyo na wamemeza hayo mambo yenu ya kuchekelea maandamano yetu.
 
NImeshangaa kuona Jamaa amepea the looters muosho moja ajabu Sana Hadi the looting ikawa clean in his eyes😂😂😂
 
NImeshangaa kuona Jamaa amepea the looters muosho moja ajabu Sana Hadi the looting ikawa clean in his eyes😂😂😂
Alafu gas ikiwa ya Rostam haimaanishi duka ni la Rostam. Hawa bongolala wanaelewa Franchizing kweli? Yani kwake hizo KFC ziko Dar anadhani ni biashara ya Mmarekani?😂😂😂
Alafu huwa wanasema Kenya inamilikiwa na wanasiasa + Wahindi. Leo hii wanajisema wenyewe vile Tanzania inamilikiwa na hao hao wanasiasa na Wahindi/Waarabu.
 
I'm sure hajui what franchising is.😂😂😂

Ni kama saa hii mkenya aende kwa Duka ya mkenya alafu aibe brookside, watasema ni Mali ya Uhuru ndio imeibwa na sio ya mwananchi WA kawaida. Or just let's say and Total or Shell ikuwe looted huko kwako, watasema ni Mali ya mzungu ndio imeibwa😂😂
 
If you see them crossing borders for treatment just know that they are used crossing them even before this demonstration just to seek treatment in Kenya. It's only that no Kenyan is obsessed with them the way they are obsessed with Kenyans that's why we can't get the true numbers if Tanzanians seeking treatment in Kenyan hospitals in the border.

1000100786.jpg

.
 
Bro, what you're experiencing now is childplay compared to what we endured under Moi and Kenyatta. Unajua nyinyi mlipata uhuru na Rais mpole asiye katili, sisi uhuru tuliupata na real mafia. Ndio maana nyinyi ndio mnaanza kupigana saahii, sisi tulianza kupigana 1960s. Alafu whenever a president dies in power, there's always speculation of foul play. Hata Kenyatta Sr. kuna wenye wanaamini aliuliwa.
Hatuko hapa kushindana nani mwovu zaidi ya mwenzake ila kwetu ni marais 3 waouliwa na hiki kikundi cha wanamtandao, Nyerere, Mkapa na Magufuli.
Nimekwambia kifo cha Magufuli haijulikani whether aliuliwa ama kafa natural death maanake dunia ilivyo, Rais akifia madarakani lazima kuwe na wanaosema kauliwa na nikakutolea mfano wa Kenyatta. If you insist Magufuli was killed because some people say so then we can agree too that Kenyatta was killed because some people said so which kind of evens everything.
Sasa wewe unaijua Tanzania kuliko mimi?
 
Didn't know of this, kumbe mkalia Tu mauchungu incubating it waiting for explosion? Everybody in Tanzania know of this or it's just corner talks?
A good number of people speculated about this, but one of the government insiders, the former ambassador to Cuba, (Hon. Humfrey Polepole), confirmed the rumors and how it happened.

Magufuli was warned about the plot but he didn't care. He used to say, "mtanikumbuka, kwasababu nime sacrificed my life for you"
 
On a serious note, I am willing to support a WhatsApp group with my fellow comrades here . Maybe Chill, Teargas , Nairobae, Iamlee, Nairobiwalker etc can create one . We can raise funds for any emergency related issues for our fellow Bongo brothers and sisters in this sub forum ( minus Best 007). I pledge $500.
 
I thought Magufuli died of covid and the reason it was kept under the rug was coz he advocated for covid denial hence would have been an embarrassment to the nation.
Covid was used as a cover. They waited for him to win the 2020 election because of his popularity, then they took him out. This mtandao group had a hit list, including the former president Mkapa.
 
Covid was used as a cover. They waited for him to win the 2020 election because of his popularity, then they took him out. This mtandao group had a hit list, including the former president Mkapa.
1. Why would they kill retired presidents?
2. How come you never said these things before?
 
Back
Top Bottom