Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20251031-032847_X.jpg
Screenshot_20251031-032903_X.jpg
 
Watu wa kibera kwa kushadadia na kuongelea mambo ambayo hawajui wamezidii.. vukeni border mje kama mnataka kujua kinachoendelea..
 
The army is with the people, but the CDF is still playing games. He's been warmed publicly (twice) by Captain Tesha and Colonel Polepole, but he seems to be in bed with Samia.
It seems Samia Government was unpopular even among the military ranks. If the army is on the people's side then you might have a chance.
 
Watu wa kibera kwa kushadadia na kuongelea mambo ambayo hawajui wamezidii.. vukeni border mje kama mnataka kujua kinachoendelea..
Kuna misinformation sana online kutoka vloggers wa Kenya. Mbaya zaidi vloggers went wamejichimbia au labda wengi wao ni machawa, hivyo YouTuber wakenya na media kubwa za nje kuwa the only source ya kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom