Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wa kibera kwa kushadadia na kuongelea mambo ambayo hawajui wamezidii.. vukeni border mje kama mnataka kujua kinachoendelea..
 
The army is with the people, but the CDF is still playing games. He's been warmed publicly (twice) by Captain Tesha and Colonel Polepole, but he seems to be in bed with Samia.
It seems Samia Government was unpopular even among the military ranks. If the army is on the people's side then you might have a chance.
 
Watu wa kibera kwa kushadadia na kuongelea mambo ambayo hawajui wamezidii.. vukeni border mje kama mnataka kujua kinachoendelea..
Kuna misinformation sana online kutoka vloggers wa Kenya. Mbaya zaidi vloggers went wamejichimbia au labda wengi wao ni machawa, hivyo YouTuber wakenya na media kubwa za nje kuwa the only source ya kinachoendelea.
 
Mbona msitangaze wenyewe jinsi mambo yalivyo instead of being crybabies? Si wote mmehama thread?
Sasa unashangaa nini hapo, wakati unajuwa wazi serikali yetu hii ni ya kidikteta?

Watu wanaogopa kupotezwa, hata jamaa zenu walipojitia kimbelembele kuja kwenye kesi ya Lissu unajuwa kilichotokea.

Walimuua mpaka rais wetu kipenzi, unafikiri kuna YouTuber au media ya kitanzania itaongelea maandamano? Nyinyi wakenya na kelele zenu zote, hamjafikia umafia wa hawa CCM mtandao labda Iddi Amin na Kagame pekee. Vitu vingine ni self explanatory.
 
Was Magufuli murdered? For what purpose? What was the endgame?
 
Sasa unashangaa nini hapo, wakati unajuwa wazi serikali yetu hii ni ya kidikteta?

Watu wanaogopa kupotezwa, hata jamaa zenu walipojitia kimbelembele kuja kwenye kesi ya Lissu unajuwa kilichotokea.

Walimuua mpaka rais wetu kipenzi, unafikiri kuna YouTuber au media ya kitanzania itaongelea maandamano? Nyinyi wakenya na kelele zenu zote, hamjafikia umafia wa hawa CCM mtandao labda Iddi Amin na Kagame pekee. Vitu vingine ni self explanatory.
Sisi hatuwezi kubali huo ujinga ama unadhani serikali haijawai jaribu kutufungia mitandao?
 
Was Magufuli murdered?
Yes, he was murdered, and it was cold blooded. No member of his family, including his wife and children were allowed to see him taking his last breath.
For what purpose?
For the group called mtandao (Kikwete, Rostam and co), to continue to loot our country's wealth. A good example of that is how the Masai were forcely removed from their ancestral land to make room for investors to build hotels.
What was the endgame?
Magufuli was their biggest obstacle, they needed him gone quick, for things to go back as usual.
 
Back
Top Bottom