Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,389
- 17,644
Na nani kakudanganya China hakuna traits of capitalism. 🤣 🤣 🤣 Enyewe wewe ni fala.
hauelewi capitalism vizuri, Capitalism ni private ownership vs communism ni state owned hiyo ndiyo tofauti kubwa, lkn haimaanishi kwamba moja ni bora klk nyingine bali ni system mbili tofauti, na hapo ndipo democracy na human freedom vinapoingia, ukiwa na private ownership kuna freedom kwani its yours vs state owned ambapo the government decides for you, mfano mdogo angalia media, upande wa communist ni state owned/affiliated media wakati Capitalism ni private owned media na wanarusha news wanazotaka wakati state owned/affiliated wanarusha news zilizoidhinishwa na state huo ni mfano mdogo tu wa complex topic ...