Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

They have never protested at this scale so they didn’t have need to upgrade anti protest equipment
It's strategic, they do have modern equipment, they're giving the wananchi a chance to express their anger by doing some destruction to make it look like the country is uncontrollable.
 
do you think we are where we were back in the 90’s? Nyef nyef… maandamano ya kwanza hata ndio imeanza na ushaanza kupiga kifua 😅😅😅
Tuliza kwanza. Tulikuwa huku back in the 90’s
Maandamano yamefanywa sana Tz. Kipindi cha Nyerere na Mwinyi, maandamano yalifanyika kila wakati. Kipindi hicho nyinyi mko chini ya baba Moi, hakuna maandamano yaliruhusiwa.

Ni kipindi cha kikwete na Magufuli na sasa Samia, ndipo maandamano yamekua yakizuiliwa.
 
Mbona ichoboy01 hapost hizi akisema no filters?😂
Him silently watching this thread and news as he cowardly hides in his cave back in his home country yemen!🤣😂😂😂😂🙌🙌...
Screenshot_20250918_145919_Facebook.jpg
 
You have had protest nyingi na a lot of you are dead, but nothing changed.

Sisi tutapata mabadiliko makubwa sana baada ya hii protest na CCM itabadilika. Upumbavu huu wa hutu Samia ni Kikwete na kundi lake na sasa ishakuwa noma.
Hakuna penye Mama yenu Idi Amin anaenda, sasa ndio anataka kuwafinya vizuri mtajua hamjui.
 
Maandamano yamefanywa sana Tz. Kipindi cha Nyerere na Mwinyi, maandamano yalifanyika kila wakati. Kipindi hicho nyinyi mko chini ya baba Moi, hakuna maandamano yaliruhusiwa.

Ni kipindi cha kikwete na Magufuli na sasa Samia, ndipo maandamano yamekua yakizuiliwa.
Wakati wa Moi kulikua na maandamano, kwani unadhani tulipata multiparty through talks ama?
 
Are you speaking about maandamano as if it's something progressive Chamoto? 😂😂 How times change.😂
Anyway, you haven't been paying attention if you think there was no maandamano during Moi's time. Maandamano is as old as Kenya. The first photo is Kisumu riots against Jomo Kenyatta in 1969. The second is Saba Saba maandamano in 1992 (Moi's time) pushing for multipartism.

images (79).jpeg

images (80).jpeg
 
Wakati wa Moi kulikua na maandamano, kwani unadhani tulipata multiparty through talks ama?
Multipartyism was forced upon us by the globalist, economic restructuring agenda. Where do you think, you got KRA and VAT? Same thing happened to us, as in many other countries in the global south.
 
Are you speaking about maandamano as if it's something progressive Chamoto? 😂😂 How times change.😂
Nilikuwa na mjibu mwenzako aliyesema ni mara ya kwanza Tanzania kufanya maandamano. Huwa sina shina na kufanya demonstration ila sipendi uharibifu wa mali za umma.
The first photo is Kisumu riots against Jomo Kenyatta in 1969.
Hicho ni kipindi cha mzee Kenyatta.
The second is Saba Saba maandamano in 1992 (Moi's time) pushing for multipartism.
Wote tunajua Moi alikuwa diktata, hayo maandamano ya '92 ilikuwa sababu ya pressure za wakubwa kuruhusu demokrasia. Kabla ya hao hamkuwa na jeuri ya kuandamana mbele ya baba Moi.
 
Nilikuwa na mjibu mwenzako aliyesema ni mara ya kwanza Tanzania kufanya maandamano. Huwa sina shina na kufanya demonstration ila sipendi uharibifu wa mali za umma.
But you also mentioned that you began maandamano before us. I was simply proving you wrong.
Hicho ni kipindi cha mzee Kenyatta.
Who said it wasn't?
Wote tunajua Moi alikuwa diktata, hayo maandamano ya '92 ilikuwa sababu ya pressure za wakubwa kuruhusu demokrasia. Kabla ya hao hamkuwa na jeuri ya kuandamana mbele ya baba Moi.
But you said there was no maandamano during Moi's time. Why are you contradicting yourself?
 
So you had singlepartism in Tanzania in 1850?

communism, nchi zote za kiafrika ukiondoa apartheid SA zilipractrice communism baada ya uhuru in one way or another pamoja na kenya hata kama ni ngumu kwako kuamini, yes kenya practised communism baada ya assasination of kenyata, akina raila wote walikuwa communist including moi ...
 
Back
Top Bottom