Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,034
- 33,254
kuna kitimu kimoja tuu kutoka kunyaland hakina hata jina kiko shirikisho kinaitwa Nairobi United sijui stars🇹🇿
Azam☑️
Yanga☑️
Singida☑️
Simba Sc📌Nayo Kesho
Vipi kuhusu Kunyan?
Major non-NATO ally 😁But sincerely! , this got me asking, 'why kenya?', why not Egypt, Why not South Africa, Why not Ethiopia, why not morroco, why not Algeria?View attachment 3493566
weka hapa tuzione acha maneno mingiMombasa has a 3 Level Interchange, Nairobi has 5 of them. Sasa sijui hiyo the only one in Dar ndio gani😂😂
Tumeziweka hapa mara mingi kwani ulikuwa wapi?weka hapa tuzione acha maneno mingi
mshamba huyo hajui kuwa we fought off the Germans alongside the British on the understanding kuwa watukabidhi nchi yetu. Hivyo tulitoka kuwa colony na kuwa protectorate.It seems like you don't know history. Distinguish between a colony and a protectorate
copy cats 😁This project has commenced. Ile kitu waliundiwa huko bongoslum was a child's play. 🤣 🤣 🤣 This is the real deal.
![]()
Go tell that to the Chinese.copy cats 😁
Acha ujinga hakuna 3-levels hapo.Tumeziweka hapa mara mingi kwani ulikuwa wapi?
Mariakani interchange, Mombasa.
View attachment 3494410
Pangani interchange, Nairobi.
View attachment 3494412
Kumbe tunaongea na mwenye haelewi mambo ya interchange?😂😂😂.Acha ujinga hakuna 3-levels hapo.
Than the whole of Ukunnduni!Mbagala residents are getting better transport services than most people in Nairobi.
Travelling while standing for the entire journey ndio better transport services?Mbagala residents are getting better transport services than most people in Nairobi.
No we are non-aligned state.So China can use Tanzania as a proxy state, right?
Maumivu peleka kiberaTravelling while standing for the entire journey ndio better transport services?
non NATO ally anatumia 1st generation fighter jet F 5 huku watu wapo F 35Major non-NATO ally 😁
That's the truth. I will 100% choose Matatu over those failed buses.Maumivu peleka kibera
Wapi F35 that Tanzania is using?non NATO ally anatumia 1st generation fighter jet F 5 huku watu wapo F 35
Hiyo ni free market economy sio nyie huwa mnaleta red tape kwenye kilakitu kwa ubinafsi wenu. We agreed on BASA then you renegade ukiona maslahi yenu yameguswa kidogo.Leased aircraft as usual.
They bought 1 big ass of a cargo plane Boeing 767‑300F with a capacity of 54 tonnes . KQ went added two Boeing 737‑800F with a capacity of 20 tonnes each, adding to their previous fleet of 2 Boeing 737‑300F with a capacity of 18 tonnes each. That's a total of 76 tonnes for KQ. Kenya went ahead and denied Air Tangagiza the right to fly their cargo plane from JKIA as a hub. They threw tantrums threatening to ban KQ from their airspace if their demands are not met. Little did they know walikua wanachezewa mchezo wa town, sahii KQ wanangoja hio cargo plane yao itoke Dar ikiwa half empty then wanaingia huko kubeba mizigo za Middle East full capacity. 🤣 🤣 🤣 You can not teach your father how to f**k. Mketi chini tuwafunze. 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/OfficialKQCargo/status/1976293904925274325