Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania na ma CCM Zombies, wakiambiwa hapa ni rural Kenya, wanakenuakenua kama mbuzi. Isitoshe, hapa panapigwa shughuli toka next month kufanya hiyo barabara ya chini 6x6 from Nairobi to Malabar, another branch through Kisumu.
20251027_190924.jpg
 
View attachment 3494839
Ruto amesema haitasimama Mau Summit as has been the plan all along … Sasa inaenda Kericho, Eldoret, Kisumu hadi Malaba … I have investment ideas .. Kenyans mko hapa inbox me..
 
Ingekua ni hao wamezungukwa na maadui kama wale , sahi Tz ingekua Islamic state🤣😂😂😂...pale posta ndio ingekua execution center... alshabaab wangechinja watu hapo vibaya sana.
Hakuna kama hicho wewe unahisi ugaidi ni wasomali ugaidi halisi upo msumbiji na washawahiingia TZ walikula mkong'oto sema sema udhaifu wa KDF ndo umefanya wasomali waonekane tafu wakiwatupia tu biscuit KDF watupa gun wanaenda kula biscuit kwanini wasomali wasionekane tough ?
 
mpuuzi kweli huyu! Angejua ugaidi wa Cabo Delgado uliojaribu kuja Mtwara ni juu ya utajiri wa gesi na upo well financed asingeongea!
 
Back
Top Bottom