Chill
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 557
- 1,339
Ingekua ni hao wamezungukwa na maadui kama wale , sahi Tz ingekua Islamic state🤣😂😂😂...pale posta ndio ingekua execution center... alshabaab wangechinja watu hapo vibaya sana.Hawa Watanzania hawajui Hilo,kwamba ingekuwa hao Kenya Sahi nchi ingekuwa ilijifia.
We really pay for the purpose of being a buffer zone.