Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo zilizokuwa under construction huzioni ama? huku our buildings are scattered all over the place sio kama nyie kila kitu CBD huko Kawe iko tower nyingine inapanda sema sisi watu wetu huku hawana hulka ya kupigapiga picha majengo.
Bongolala did you say Kila kitu CBD? Is Westlands, Kilimani, Parklands, Kileleshwa, Eastleigh, South C and many other places part of CBD?

Are you aware that in Westlands alone, there are over 20 buildings currently under construction/approved over 20 floors? (Majority are actually twin towers of 25 floors and above)

Hapo sijataja Upper Hill, Kilimani na maeneno mengine. Nairobi is literally a construction site of highrises.

Show me anywhere in Dar with green nets everywhere like this picture of Nairobi below tuone.
 
Mwambie CBD ya Nairobi has no building under construction currently that is above 10 floors, all the constructions are outside the CBD.
 


Eti kila kitu CBD. Ebu atuambie hii ni CBD gani basi?

 
Huyu Nyumbu mwaiofhawaii amelike post yako.

Usage ya "no more similar" ni ambiguous ila kwa sababu wewe huna akili za hivyo na unaokota chochote so long ni grammatically correct ndi9o shida. Ila kwa vile unataka kumaanisha, ungekua clear na kuavoid any ambiguity, ni vyema utumie "not more similar". 🚮
 
So far Westlands nairobi pekee yake imeua Dar Tz yote plus kampala UG, Kigali Rw, kinsasha CNG when combined.upperhill pekee yake imeua pornstar ft posta😂😂. Kilimani,kileleshwa, parklands to each on their own imeua mikocheni ft 'mukochini', kijiko ya nyama ft kijitonyama when combined😂😂. Eastleigh, ngara, pangani south c to each on their own imeua kariakoo,upanga kijikoyanyama when combined. Nairobi mzima on its own imeua Addis, Dar, kampala, Kigali, kinsahsha combined .... although addis nimeikubali cause iko on full turbo it's catching up na inapea Nairobi joto especially when it comes to height...currently addis has 2 supper talls(200+ mtrs)ziko under construction🙌them habeshas hawachezi, Nairobi usijaribu kuzubaa...
 
True funny story . i was with an assigment group to the south Pacific islands of American Samoa. During the welcome ceremony by the High Chief , we were entertained by the local traditional dancers ( almost African). I couldn’t believe my ears when I heard … Jambo Bwana , Habari gani Mzuri sana, wageni mwakaribishwa, Samoa yetu hakuna Matata … ( though with an accent)… I didn’t want to create a scene since I was there as an American but I chatted with the group leader after and told him about the origin of the song . He told me it was introduced there by sailors a long time ago . I still haven’t dug into that history yet . You can imagine how fascinated I was …
 
Keep digging the hole ..I am chilling with my popcorn..😄😄
 
Shida yenu kubwa ni ujinga, ulimbukeni, ujuaji usio na mpango na majigambo.

Elimu yenu ilijikita zaidi kwenye ku-look down upon everything Tanzanian kama moja ya mambo muhimu ya ku-discredit our socialist ideologies. Mmekuwa doctrinated hivyo na wengi wenu bado mnaamini hivyo..
Similarly kama sisi tulivyotumia land grabbing in Kenya na maisha yenu ya njaa na taabu nyingi to address the evils of capitalism.

Effects za unyama wa capitalism in Kenya ni real na very vivid while imani za Wakenya kuwa Tanzanians are lazy, poorer na less innovative than them ni uongo. Tanzania ina nyimbo nyingi sanaaaa na wana muziki wengi sana na nyimbo nyingi zinazoimbwa na Wakenya ni replica ya Zilipendwa za Wazee wetu, "Zilipendwa" nyimbo za kale.

Mfano: Varda arts- Salama Tanzania

"Ukiuliza habari
Salama Tanzania
Funga safari ya Tanzania Tanzania Tanzania
Salama Tanzania"


View: https://m.youtube.com/watch?v=0tU0GcTUrDM
Sasa ni vile tu tunakaa kimya na wizi wenu wa kila namna.
 
Maybe my ears are off but is the singer saying..” Funga Safari ya Tanzangiza “..🤣🤣🤣🤣… take it easy ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…