2017 Kenya 10 - 0 Tanzania
2018 1st quarter Kenya 15 - 0 Tanzania
Hahaaaaaaaaa!Hi ni thread ya aibu sana

Imagine hatujui mnashindana nasisiTanzania ni nchi tunayonyorosha hata kama tumebana macho....hahaha.A soft competitor
.Ex kibela and the like.don't mind these fellas.....they know we've got more mulla and swag than them by far
don't mind these fellas.....they know we've got more mulla and swag than them by far
ujenzi wa piinnacle ukwapi maana ishakua nyimbo toka 2014 munaongea kuhusu ujenzi wa pinnacle mara sijui hass , kama upo leteni tuone na kama hamuna endeleeni kutuonesha renders, maana mutaonesha shimo mpaka lini ?????? miaka 5 sasa munaonesha shimo tu hata tofali lakusingizia hamuna, mwengine alileta picha ya montave nilicheka sana aisee kupenda sifa nikubaya sana😀😀😀Ujenzi wa pinnacle umefanya Ichoboy kunyamba usiku kucha lol! Hadi wivu umemtia wahaka na kiwewe, iweje wakati huu? Na jee litapokuwa kwenye shamrashamra za Top up naona watu wakijificha mavumbini.
Jueni kwamba this is a SUPERTALL SKYSCRAPER, Jump forming itakapoanza ni 1 floor every 4 days and within 1 year, top up ndio hiyo, just like the salesforce tower.
Mwaka huu ni kichapo kikali!!!! Harariiiiiii!!
Aganza vipi?Hahaaaaaaaaa!
Karibu jf,hii id imefunguliwa leo 1/1/2018
Nahisi ni ya mwaswast![]()
![]()
![]()
ikiwa kuwajengea daraja watu wa likoni wameshindwa wataweza light rail wanafkiri ni kama kula andazi😀😀Light rail iyo ni 2070
BRT 2080 HaHaha mnachekesha...ntaka uwe na list ya mwaka huu sio porojo
Safi brietzAganza vipi?
chuki na hasira hazitakutoa kwenye slums sehemu hata nguruwe hawez kuishi😀😀😀😀😀Happy New year Mla Albino na Mwanagovi wa Tandale. Natumahi maisha yakuendee vizuri utoke kwenye vibanda vya makaburini mwaka huu....
diamond anakubalika Africa my friend😀😀😀Kama ni jobless jana show ya Diamond haingejaa..
Mnasemaga ivo as if kenyans are poor....wakenya wengi wanafikisha 2$ a day than TZ kwa mbali.
Hahaaaaaaaaa!
Karibu jf,hii id imefunguliwa leo 1/1/2018
Nahisi ni ya mwaswast![]()
![]()
![]()

hii kitu imenishtua sana 4billion usd serious????
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
yani gari moshi from nairobi to mombasa 4b usd wakenya kweli aisee nimeskitika sana ila mchina ujue Mungu anakuona
View attachment 665437
hehhehe unajua maana ya around yani iwe 3.5 aseme 4 we akili yako timamu kweli, around maana yake iko karibu sana tena sana na figure husika ita may be 3.95 or 3.9b au 4.1 hvi and not 3.5, sometimes upunguze ujinga usio walazimaaround $4 billion.
meaning it could be anywhere between $3.5b to $4.5b.
does not necessarily means it is exactly $4b.
understand literature
can be between $3.8b to $4.2b.... but not exactly $4b usd....hehhehe unajua maana ya around yani iwe 3.5 aseme 4 we akili yako timamu kweli, around maana yake iko karibu sana tena sana na figure husika ita may be 3.95 or 3.9b and not 3.5, sometimes upunguze ujinga usio walazima
hizo ni pesa sio mandazi😀😀😀😀😀