Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 30,976
- 33,228
Hakuna kitu inaumiza Watanzania Kama hii Stadium.Daily Dose
Niliona mwehu fulani akisema haifanani na render. 🤣 🤣
![]()
Mara;
1. Asante Kwa Render
2. Haitajengwa
3. Haieziisha within 18 months
4. Ni PPP ya Mchina
5. Ni design ugly
6. Haitafanana na render😅😂🤣
Next sijui itakuwa nini sasa?