Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Which airport in Mombasa is international? BTW Arusha is served by 2 airports KIA n Arusha airport which r way better than Moi! The same can be said over the presence of AICC n 5 star hotels in Arusha aside the cultural center n international stadium!
Mombasa international airport has been in operation for years sasa sijui ni kwa nini unajifanya hujui hilo.

Arusha has one airport. Arusha airport which handles only local flights. Kilimanjaro international airport iko mbali sana na Arusha town. Actually iko karibu na mji wa Moshi kushinda Arusha so kama kuna mji inafaa kuclaim KIA, it is Moshi and not Arusha.

You handpicked AICC and overlooked the other areas I mentioned thinking you'll get an escape route
 
tokeni kwenye huu umaskini alaf uanze kuiwaza mwanza na arusha 😂😂😂

View: https://x.com/mathenge_wahome/status/1977458153701958098?s=46

Huo umasikini tulishatoka kitambo sana. Au unadhani tupo pamoja? La hasha!!
Screenshot_20220501-110859~2.png
 
Kama ninyi ni in East Africa basi Tanzania itakua ni ya in Africa, hamna trucks nyingi kama Tanzania we pimbi na hapa ni njia ya southern corridor tu bado northern nayo ni balaa

Huyu mzungu mwenyewe anasema hajawahi kuona trucks nyingi kama alizoziona Tanzania na episode nyingine anasema kote huko vijijini ameona umeme na tap water huge development kuliko nchi yoyote Africa aliopita.

View: https://youtu.be/46I8jAgMF1I?si=jRMpS0YC4PL6nna2

Barabara zao zenye magari mengi ni Mombasa Nairobi - Kisumu
Tanzania barabara zenye malori mengi
Songea - mtwara
Mbeya - dar
Mtwara - dar
Dar mwanza,bukoba,kigoma
Dar - arusha
Dom - arusha
Hizo ni kwa uchache
Hata tukienda kwenye kampuni zenye malori mengi letsay above 2000 tz zipo kibao na Kila meli ikishuka lazima ishushe vyuma.
Ukienda kwenye mabasi iwe ya kununua au kutengeneza hakuna kampuni ya kikenya yenye above 150 units za mabasi au inayoweza toa units 40 kwa njia moja tu ila wanadanganyika na takwimu za 2020
 
Huyu jamaa huwa funny sana. Alafu he always argues kambe anaonewa. 🤣 🤣 🤣
Yani amekazana Tu ATI hiyo barabara Yao ya chalinze has more trucks than Mombasa Road, mwenye hajui performance ya two ports can assume that Dar performs better than Mombasa based on his arguments 😂😂
 
Kama ninyi ni in East Africa basi Tanzania itakua ni ya in Africa, hamna trucks nyingi kama Tanzania we pimbi na hapa ni njia ya southern corridor tu bado northern nayo ni balaa
Kwani siku hizi Dar Port performs better than Mombasa? You people are all foolish.
 
Barabara zao zenye magari mengi ni Mombasa Nairobi - Kisumu
Tanzania barabara zenye malori mengi
Songea - mtwara
Mbeya - dar
Mtwara - dar
Dar mwanza,bukoba,kigoma
Dar - arusha
Dom - arusha
Hizo ni kwa uchache
Hata tukienda kwenye kampuni zenye malori mengi letsay above 2000 tz zipo kibao na Kila meli ikishuka lazima ishushe vyuma.
Ukienda kwenye mabasi iwe ya kununua au kutengeneza hakuna kampuni ya kikenya yenye above 150 units za mabasi au inayoweza toa units 40 kwa njia moja tu ila wanadanganyika na takwimu za 2020
Kweli kabisa, Kunyaland nimeingia kama chooni, hakuna truck traffic hata robo, hiyo Mombasa road yenyewe hata trucks za Dar Arusha zimewazidi, tofauti na fake data Mombasa ni dry port ya kawaida tu kama kwala. Hata kama ni mzigo wa Mombasa 90 percent unaishia naislum
 
I Don't argue about obvious things with mad men. Your tiny port is being served by Mombasa and Lamu Port yet you are here yapping like a mongoose.
😅😅😅 Dar ro-ro tuu day to day activities zake ni sawa na Mombasa total performance 3, bado inajengwa oil port, hiyo ni mara 3 ya kipevu
images.jpeg
 
Yani amekazana Tu ATI hiyo barabara Yao ya chalinze has more trucks than Mombasa Road, mwenye hajui performance ya two ports can assume that Dar performs better than Mombasa based on his arguments 😂😂
Btw, Mombasa port imekuwa so busy this year. I can assure you the statistics for this year will be record breaking.
 
Back
Top Bottom