Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamejaa kwenye shule na vyuo vya Tanzania kama utitiri, they desperately need our higher education validation to decorate their CV so badly, most of them are here to fetch what their home could never give them

View: https://x.com/Kenyahc_tz/status/1971615301558280201?t=2s6Q-pluCLzBo5jU_hpjIQ&s=19

Is Aga Khan a Tanzanian institution? Those students down there are failures who couldn't be allowed near Kenyan universities. They had no choice but to move down southwards.
 
South Africa really recognises Kenya. Watu WA tulikomboa South Africa hata hawatambiliwi😂😂😂

1000075927.jpg
 
Mambo yametoka hadharani sasa kumbe mnasaidiwa hata ulinzi na USA hamuwezi kujilinda wenyewe! Halafu the worse part Kunya is mentioned alongside Somalia a fellow failed state. Katika haya mambo mimi nilifikiri ni chakula tuu ndio mnasaidiwa kumbe kuna vingine dah! hii Singapoor ya EA kweli kiboko.

View: https://www.facebook.com/share/p/1GAuGpdRk6/
 
Singapoor of Africa. 😂😂😂
 
"Hawana chochote cha maana..."
Alisikika bongolala akijiliwaza. Jana nilikupa mfano na commuter rail ya Mombasa which was launched just recently and we decided just to keep quiet about it. Nikakuuliza unipe mji wowote Tanganyika kando na Dar that has a commuter rail network. Bado nasubiri jibu hadi sasa.

You are creating this narrative not knowing that miradi zipo ni vile tu we are not noise makers kama nyie
Sasa hiyo commuter train si kwa sababu hamkufikisha SGR City center?
Kwanza ni MGR.

Mlikuwa mnapanda vans kwa hela kubwa. It doesn't mean City kama city ina commuter trains. Ile ni extension ya SGR.
Mombasa Bado imajaa matatu, tuktuks na Bodaboda
 
Hii hata heri niendelee kupanda Matatu😂😂😂

The guy is kissing the window in the name of Bii-yaraaa-tiii 😂
View attachment 3481771
Siku wakileta Mabus mtafutanga midomo

Infrastructure zipo, shida ni mabasi. Nayo this month yanaletwa kibao

Nyinyi infrastructure mlishindwa hata phase 1, pesa mlikula. Naona vibanda vya kuku pale thika road.

Yaana mkitaka mjenge BRT with proper standard, inabidi mfumue upya thika road. Ruto anajua cost yake, ndo maana ameupa kisogo
 
Bii-yaraaa-tiii oyeeee😂😂😂

1000075962.jpg
 
Sasa hiyo commuter train si kwa sababu hamkufikisha SGR City center?
Kwanza ni MGR.

Mlikuwa mnapanda vans kwa hela kubwa. It doesn't mean City kama city ina commuter trains. Ile ni extension ya SGR.
Mombasa Bado imajaa matatu, tuktuks na Bodaboda
Unajua maana ya commuter rail system kweli wewe bongolala?
All out commuter rails, hata ya Nairobi, ni MGR.

And who told you that having a commuter rail is supposed to eliminate matatus and bodabodas? Dar kuna commuter rail na bado imejaa hizo biti zote umetaja

Jengeni commuter rail Mwanza or Arusha kisha uje tuongee
 
Mambo yametoka hadharani sasa kumbe mnasaidiwa hata ulinzi na USA hamuwezi kujilinda wenyewe! Halafu the worse part Kunya is mentioned alongside Somalia a fellow failed state. Katika haya mambo mimi nilifikiri ni chakula tuu ndio mnasaidiwa kumbe kuna vingine dah! hii Singapoor ya EA kweli kiboko.

View: https://www.facebook.com/share/p/1GAuGpdRk6/

Kiingereza inawapita kama buret train. 🤣🤣🤣
You mean you haven't understood what's being said in that Facebook post? Inashangaza sana!
 
Viwanja vinavyotumika league kuu nchini kenya🤣🤣🤣🤣
Hawa ukipewapelekea sokoine Ile ya mbeya itakuwa ulaya yao
Unajisifia over inflated price seriously! dude you are insane. Even your SGR thamani yake ni kubwa kuliko SGR ya Tanzania, don't you see an emerging pattern in those two projects?
Wangerekebisha kwanza hivi viwanja
IMG_20251001_143206.jpg
IMG_20251001_143206.jpg
 
Pole sana uachage kuokota picha za miaka 7 nyuma

View: https://www.instagram.com/reel/C6EATQ-q8Yx/?igsh=MWpvZm8xZHNkeDl5MA==

Leta picha za Jana za uwanja wa sokoine badala ya kuokoteza
 
Back
Top Bottom