Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

singapore ya africa 😂😂😂😂

IMG_8891.jpeg
IMG_8892.jpeg
IMG_8893.jpeg
IMG_8894.jpeg
IMG_8895.jpeg
IMG_8896.jpeg
IMG_8897.jpeg
 
Pipeline is considered a slum in Nairobi ila nyumba zote ni za tofali na bati juu. Tena apartments za choo na bafu ndani View attachment 3479182View attachment 3479184View attachment 3479186

Same as Mathare slum
View attachment 3479198View attachment 3479199View attachment 3479201View attachment 3479202View attachment 3479203

Same as Huruma (also considered a slum)
View attachment 3479205View attachment 3479206View attachment 3479207

Same as Kariobangi (also considered a slum)
View attachment 3479215View attachment 3479216View attachment 3479218View attachment 3479220View attachment 3479222View attachment 3479223

Kawangware the story is the same. Also considered a slum in Nairobi
View attachment 3479226View attachment 3479229View attachment 3479231View attachment 3479233

I can give you so many such examples. Dar has a long way to go
Tunaposema slums hatumaanishi tu mazingira machafu bali pia housing mbovu. Sasa unapoonesha visehemu vichache ambavyo nyie kwenu ni decent basi ni kama unajiongopea, hapa chini nakuonesha nyuma ya hivyo vighorofa vichafu ili ujue kwamba kenya ni mavi.
1. Mathare slum 👇👇🤣🤣🤣
Screenshot_20250926_143852_Google.jpg

2. Kawangware slum, full mabati👇👇🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250926_142910_Google.jpg


3. Huruma slum, inatia huruma 👇👇🤣🤣
Screenshot_20250926_143029_Google.jpg
Screenshot_20250926_143123_Google.jpg


4. Pipeline slum, hapo ni nyuma ya hivyo vighorofa vichafu vya pipiline, full nyumba za udongo 👇👇🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250926_143549_Google.jpg


Yani kenya ni slum na slum ni kenya. Tunaposema slums watanzania mtuelewe kwamba slums za kenya ni zaidi ya unavyoweza kufikiri, ni hatari mnoo. Takwimu mpya zikitoka nawahakikishia kenya itakuwa namba moja duniani kwa kuwa na ma slums mengi yasiyo na idadi cz kwa sasa hawawezi kuficha, mambo hadhalani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kweli, Pipeline ni slum. Kuna video ilipostiwa humu jinsi Pipeline ilivyo, despite maghorofa ni pabaya na pachafu. Watu wanaishi mazingira machafu kama nguruwe, takataka zimejaa, chini kuna tope jeusi limechanganyika na majitaka, Na majitaka yanatoka vyooni pia maana yake hayo ni mavi so kuna risk kubwa ya kipindupindu (cholera) ukiishi pipeline.
Hebu angalia na hii. This is not a way human beings should live 🤮🤮


View: https://youtu.be/0B_vZCLDs-M?si=BDLanziot3KCMHgF

Pipeline ni habari nyingine mzee, hivyo vighorofa ni viwili vitatu na ni vichafu kweli kweli, huwezi kuishi hapo. Nyuma ya hivyo vighorofa vichafu vya pipiline unapata uchafu mwingine huu 👇👇
Screenshot_20250926_143549_Google.jpg


Alafu mathare ambayo kakuwekea vighorofa vichafu viwili vitatu ndiyo hii hapa 👇👇
Screenshot_20250926_142740_Google.jpg

Screenshot_20250926_142700_Google.jpg

Kenya ni disaster mzee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa East Africa hakuna sehemu inazidi Kenya kwa slums wewe Mkundustan. Kenya mna slums level moja na India na Nigeria. Kenya haijalishi uende wapi, South, East, West au Central kote ni slums tu, ukienda North ni ukame na njaa😂😂😂

Angalia Nairobi ambayo mnaita world class city 🤣🤣🤣
View attachment 3479143View attachment 3479144View attachment 3479145View attachment 3479146View attachment 3479149View attachment 3479150

Achana na Nairobi twende Mombasa 😂😂😂View attachment 3479160View attachment 3479159View attachment 3479158View attachment 3479156View attachment 3479155
Nchi nzima imejaa nyumba za matope na mabati na mko hapa mnatrash Tanzania. Kwenye hili suala la slums Kenya mko juu sana.
Kama unabisha nenda YouTube search slum in Tanzania (2024/2025) uone, halafu search slums in Kenya (2024/2025) ndio uone tofauti ya Jua na mwezi. Haki ya Mungu, hakuna slum chafu kama Kibera hapa East Africa 🤣🤣🤣

Hebu angalia hawa watu wanaoishi hapa, hivi wana future kweli hawa? Nchi za Africa zina watu masikini lakini Kenya mmezidi kwa kweli 😑😑

View: https://youtu.be/6rIV8TlrbLQ?si=nq3I4O_8m7bj2ppO

Hao viumbe hawana akili,angalia wanavyojimwambify humu na mislum yao,imagine zile slums zingekua Tanzania sijui wangekuaje hawa nyang'au
 
Nimependa hii picha. Kumbe nyuma ya CBD wameficha hizi takataka kwenye slope 😂😂😂
Kwani unadhani hawajui kama tunajua? Tangu 2017 walipokuwa wanaongopa, baadae tukawa expose vby wakakaa kmy, nimeshangaa huyo watchman Nicxie leo amepata wapi ujasili wa kuanzisha hii mada 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pipeline ni habari nyingine mzee, hivyo vighorofa ni viwili vitatu na ni vichafu kweli kweli, huwezi kuishi hapo. Nyuma ya hivyo vighorofa vichafu vya pipiline unapata uchafu mwingine huu 👇👇View attachment 3479340

Alafu mathare ambayo kakuwekea vighorofa vichafu viwili vitatu ndiyo hii hapa 👇👇View attachment 3479343
View attachment 3479346
Kenya ni disaster mzee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee, Tanzania hata uende wapi hauwezi kuta sehemu ipo hivi 🤣🤣🤣
 
Kwa akili za kikenya mnuka mavi anadhani hizi ni nyumba za kuishi, kumbe ni viosk, slums zimewaharibu kweli akili hawa jamaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250926_151145.jpg
 
Back
Top Bottom