Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,583
- 15,467
Lazima mzoee tu, maana huwa mnaleta picha za Dar za 2009. Unataka tukae kimya? Una matatizo ya akili ama 😂😂😂Haya ya kukataa picha za Dar na kutaja miaka mbona tushazoea?
Lazima mzoee tu, maana huwa mnaleta picha za Dar za 2009. Unataka tukae kimya? Una matatizo ya akili ama 😂😂😂Haya ya kukataa picha za Dar na kutaja miaka mbona tushazoea?
Hata hii naona ni ya 2009. Piga sasa nduru kabisa.Lazima mzoee tu, maana huwa mnaleta picha za Dar za 2009. Unataka tukae kimya? Una matatizo ya akili ama 😂😂😂
Wewe naye kila muda "scammer" "scammer", Huna hoja ya msingi 🚮🚮Huna hata pesa ya kuangalia video scammer hii. I can also see you like free things😂😂
Jamaa ni Scammer. I will continue to remind him of his long life career.Wewe naye kila muda "scammer" "scammer", Huna hoja ya msingi 🚮🚮
Anatumia kama kivuli ili asioneshe bank balance au bank statement yake. 😂😂😂Wewe naye kila muda "scammer" "scammer", Huna hoja ya msingi 🚮🚮
Angalia nyuma ya CBD yenu 😂😂😂
Haya mazingira ya Kibera, Mathare, Uthiru nk huwezi kuyakuta hapa Tanzania lakini Kenya ndio yamejaa nchi nzima 😂😂😂
Mazingira yenyewe sasaView attachment 3479168View attachment 3479169View attachment 3479170View attachment 3479171View attachment 3479173View attachment 3479174View attachment 3479175
Tangu lini Upperhill ikawa CBD? Najua mmezoea kuona Tu gorofa Tatu in your CBD pekee unadhani Kenya pia penye kuna gorofa basi ni CBD. For your information Upperhill is part of Kibera, actually Upperhill is in Kibra Constituency.Angalia nyuma ya CBD yenu 😂😂😂View attachment 3479265
Fikiria hiyo ni mwaka 2019 na Leo ni mwaka ila bado imezidi ubora wa slums za Nairobi zoteHaya mazingira ya Kibera, Mathare, Uthiru nk huwezi kuyakuta hapa Tanzania lakini Kenya ndio yamejaa nchi nzima 😂😂😂
Mazingira yenyewe sasaView attachment 3479168View attachment 3479169View attachment 3479170View attachment 3479171View attachment 3479173View attachment 3479174View attachment 3479175
In fact hayo maeneo ni majina tu ndio tofauti, ila hayako mbali mbali wala nini. Unasema Dar ina ghorofa tatu, hebu zioneshe hapa, ili tuone kweli apart from ghorofa tatu Dar hakuna ghorofa nyingineTangu lini Upperhill ikawa CBD? Najua mmezoea kuona Tu gorofa Tatu in your CBD pekee unadhani Kenya pia penye kuna gorofa basi ni CBD. For your information Upperhill is part of Kibera, actually Upperhill is in Kibra Constituency.
Wewe aliwahi kujaribu kukuscam?Jamaa ni Scammer. I will continue to remind him of his long life career.
Hata wewe usipochunga atakuscam na mambo za Forex.
Dar hakuna slums, wananchi wamejitahidi kujenga decent houses. Tatizo kubwa la Dar ni ujenzi holela, hili ni tatizo kubwa sn ambalo litatughalimu sn, watu wanajenga hovyo hovyo na sijawahi kusikia mamlaka zikiongelea hilo jambo, nyumba nzr kweli kweli ila hazifuati planning, Dar bado ina nafasi kubwa, mamlaka ingeanza kutilia mkazo katika ujenzi.Mbona huwa hawataji na kuonesha hizo slums zilizopo Dar!
Wanasahau kuwa biggest slum in Africa na duniani yapo Kenya. 😂😂😂
Anadhani kwenda Google earth na ku zoom out kutaweka slums Dar.
Hapa East Africa hakuna sehemu inazidi Kenya kwa slums wewe Mkundustan. Kenya mna slums level moja na India na Nigeria. Kenya haijalishi uende wapi, South, East, West au Central kote ni slums tu, ukienda North ni ukame na njaa😂😂😂
Angalia Nairobi ambayo mnaita world class city 🤣🤣🤣
View attachment 3479143View attachment 3479144View attachment 3479145View attachment 3479146View attachment 3479149View attachment 3479150
Achana na Nairobi twende Mombasa 😂😂😂View attachment 3479160View attachment 3479159View attachment 3479158View attachment 3479156View attachment 3479155
Nchi nzima imejaa nyumba za matope na mabati na mko hapa mnatrash Tanzania. Kwenye hili suala la slums Kenya mko juu sana.
Kama unabisha nenda YouTube search slum in Tanzania (2024/2025) uone, halafu search slums in Kenya (2024/2025) ndio uone tofauti ya Jua na mwezi. Haki ya Mungu, hakuna slum chafu kama Kibera hapa East Africa 🤣🤣🤣
Hebu angalia hawa watu wanaoishi hapa, hivi wana future kweli hawa? Nchi za Africa zina watu masikini lakini Kenya mmezidi kwa kweli 😑😑
View: https://youtu.be/6rIV8TlrbLQ?si=nq3I4O_8m7bj2ppO
Yes, nilikataa kumwambia my bank details and from that day huyo Scammer anakuanga na machungu Sana na Mimi.Wewe aliwahi kujaribu kukuscam?
Ndio zile gorofa Tatu kule nyuma the slums.In fact hayo maeneo ni majina tu ndio tofauti, ila hayako mbali mbali wala nini. Unasema Dar ina ghorofa tatu, hebu zioneshe hapa, ili tuone kweli apart from ghorofa tatu Dar hakuna ghorofa nyingine
Ndio shida ya hawa Wakundustan. Wanatafuta picha za slums halafu wanasema ni Dar. Ona sasa wanaleta picha za Jakarta 😂😂😂Imagine mpaka unaokota picha za Jakarta na baadhi za 2016🤣🤣🤣
Hata haiwez lingana
View attachment 3479269
UtotoYes, nilikataa kumwambia my bank details and from that day huyo Scammer anakuanga na machungu Sana na Mimi.