Are you aware that 70% of Tanzanians live in slums because of lack of proper housings?How is that a bad thing? Infact inasaidia kutanua mji. In future watu watajenga hapo na mji unazidi kuwa mkubwa, sisi huku Tanzania miji yetu tunaprefer horizontal settlement kwa sababu tunayo ardhi ya kutosha. Sio kama huko Kenya kila kitu mnajenga sehemu moja. Miji yenu ipo congested hadi inatia kichefuchefu.
Watu hawana ardhi wanaamua kujenga mabanda mengi ya kama ya nguruwe sehemu moja, No wonder mnahangaika na affordable housing kila kona ya nchi
Hizi data zinapotosha, huwa wanalazimisha tu mambo. Njoo Tanzania uone hicho wanachoita slumsAre you aware that 70% of Tanzanians live in slums because of lack of proper housings?
View attachment 3478186
Slum is a slum and in Tanzania 70% of people live in slums as compared to Kenya's 40%.Hizi data zinapotosha, huwa wanalazimisha tu mambo. Njoo Tanzania uone hicho wanachoita slums
Ni very different na huko Kenya ambako slums zenu zinakaa mabanda ya nguruwe
Hata siku 3 haijaisha.Sema nguvu kuandamana ndio huwa hawana.
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1970759228089319443?t=eKgABvBjJanYWezBqDctIQ&s=19
Kweli wewe ni TIWAGESISlum is a slum and in Tanzania 70% of people live in slums as compared to Kenya's 40%.
View attachment 3478189
View attachment 3478190
asante kwa kuokota picha za googleππ
Hakuna msani mkubwa kutoka Kenya ambaye atapanda kwenye sunroof akipita barabara za nchi zingine. Hio tunaita "Aura farming",Hivi Teargass, NairobiWalker na Reborn Ktb msanii gani wa music kutoka Kenya unahisi akija Tanzania fans wengi watafurika kwenda kumsikiliza
Nataka tu nijue kama Kenya ina influence kubwa kwa Tanzania kwenye tasnia ya burudani kama tu Tanzania ilivyo na influence kubwa Kenya π€
Mpeni tamu nyingine.Kasongo anatumaliza na barabara mpya. Yani kila corner barabara inajengwa.
View: https://x.com/ray_omollo/status/1968160764864147585?t=mnJWBjiv68MZiGFpyi-UHQ&s=19
People are moving away from DSTV lakini wewe huko hapa umekenua meno kama Ngamia.
Azam imeshuka kwa 60% despite kununua rights za KPL πππPeople are moving away from DSTV lakini wewe huko hapa umekenua meno kama Ngamia.
1. Inaonesha MNF square haijakamikika, manaake ni picha ya kitambo sanaa.