Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Asante kwa kukana picha za Dar, tena kwa hasiraasante kwa kuokota picha za google tena kwa hasira ๐๐๐๐๐
Asante kwa kukana picha za Dar, tena kwa hasiraasante kwa kuokota picha za google tena kwa hasira ๐๐๐๐๐
Kwamba hizi ni magodowns? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃPosti nyumba. Achana na godowns.
Au weka video
Bii ara tii katika ubora wake ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
![]()
Kibera as usual. Jifarji nayo kaka brazaRich East Africans ๐
View attachment 3477894
Kumbe Nairobi borders Tanzania at Namaga area๐ค๐ ๐ ๐ ๐
Mpaka Kajiado, means Laset, Loitok tok, Namanga, Kitengela yote ni Nairobi metro???
India sasa wanakuja kujifunza Tanzania kuhusu SGR, wakenya mnakwama wapi kuja Tanzania kujifunza? au ego?
View: https://youtu.be/6zl_rZdYhyA?si=gunvJ0bcYqW04Vcb
Hii ripoti iliwauma sana wakafanya juu chini wa prop up real estate yao kumbe wameingia chaka. sisi tukatoka huko tukaweka mpunga kwenye vitu vya maana ziadi vyenye multiplier effect kwa economy such as power generation (Nyerere Dam), Electric SGR, Ports, Agriculture etc sasa we are smiling all the way to the bank miruzi miingi
We mngese usingewaondoa wazazi wako kibera halafu ndio ukalishe kijiji kama kweli ubavu huo unao,maku wwI can feed your entire village.
Kwani Kibera is not located in a rich East African Country or Singapore ya Africa?Kibera as usual. Jifarji nayo kaka braza
This one must be a pain in your a**Kwani Kibera is not located in a rich East African Country or Singapore ya Africa?
Naikundu just 2 km from cbd unakutana na kiberaIla honestly, Dar ni pazuri ๐
Imagine hapa ni 10km from CBD meanwhile Nairobi, ukienda just 13km from CBD unakutana na National Park ๐๐
View attachment 3477671
Tuko 2025 wewe unajifariji na ripoti ya 2017!
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNaikundu just 2 km from cbd unakutana na kibera
wow zidisha hasira tena plz๐๐๐๐Asante kwa kukana picha za Dar, tena kwa hasira View attachment 3477874View attachment 3477875View attachment 3477877View attachment 3477879View attachment 3477881