Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

downloadfile-2.png
 
🤭 ni nini nyingine ntafanya na isitoshe wewe ni muadhiriwa wa ugonjwa wa ukimwi?🤭😂😂... halafu chunga usiwaambukize wale watoto wachekechea🤭😂😂😂🤣🙌
Ukiliona jina la Magonjwa Mtambuka ni lazima uliheshimu unasikia wewe nyang'au? Usisahau kufikisha salaam zangu kwa rafiki yako Teargass😂😂

Cc: Mimi Wewe Yule
 
FYI, nna access ya kuingia mpaka kwenye ndege pale ninapohitaji kujiridhisha, we unadhani nilijuaje kwamba ndege za KQ seats zake zimechoka? Hapo nipo mm, mwenzangu na mdada wa KQ, tupo kwenye bridge kabla ya kuruhusu ndege kuondoka.View attachment 3476078
This is a screenshot you stole from someone's video wewe Watchman, ama siku hizi camera za simu zinacapture pictures as screenshot?

Wewe mwisho ya access yako kwa airport huwa unaisha kule kwa gate.

1000065513.jpg
 
Back
Top Bottom